Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

tumemalizana na Barca sasa ni zamu ya Arsenal. Hull twenzetu
 
Pazi
rubaman ni muoga mno hawezi kuangalia mechi ya Arsenal akiwa ame login

Anaweza kuwa yupo kama Guest anachungulia
 
Last edited by a moderator:
Kipindi cha kwa kwanza cha extra time kimekwisha

Arsenal 2 Hull City 2

Mpaka kieleweke leo.
 
Arsenal wanafanya mabadiliko Wilshire na Rosicky wameingia wametoka Ozil na Carzola

Dakika 15 za mwisho sasa
 
Arsenal2~2 hull
dk90+15
rosisk on
cazola offt

ozil off
wilshea on
 
Arsenal wamefunga goli la 3

Ramsey kafunga

Dakika ya 107
 
lakini bado nina matumaini ya kumwonea huruma Wenger usiku huu, its a matter of time
 
Saaaafi.....endeleeni kutupa mrejesho tafadhali
 
Back
Top Bottom