Halafu wale washabiki wa kununuliwa wa mcc naona wanachungulia tu humu ndani hakuna anayetaka kutia mguu
acheni porojo leteni updates.
wakuu. Mbeya city wanacheza rafu tuu..mpira umewashinda wakipewa kadi nyekundu msishangae wakuu
Mpira dk 90
nayo ni mbinu ya mchezo wewe
si uliaga unaondoka wewe au unasubiri hadi mchapwe cha pili?
mbeya city hawana kitu kabisa sijui wanashindaje mechi zao..leo lazima wapigwe tano bila
mjiulize ilikuwa tulidroo na nyinyi.......na leo lazima tuwachape
Nalog off kwa muda
Wish game iishe kwa sare yoyote ile!