Nani anaota sasa?!
Yanga 1 mbeya city bila
Atakua kala maharage huyo.
si huyu fidel80
kwahiyo
nikajinyonge kisa?kajinyonge
acheni porojo leteni updates.
tuambieni nini kinaendelea basi kuliko kuendekeza porojo. mnakuwa kama ccm bwana!
nikajinyonge kisa?
MCC kashaingia cha kike...kachapwa goli moja hadi sasa...
Kuna dalili akachapwa kama goli tatu leo...
dah inaonekana leo mbeya city watafungwa nyingi sana yanga wanapiga mpira si mchezo mbeya city wanaruka ruka tu uwanjani