Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

mbeya city walikuwa wanacheza rafu sana..kadi nyekundu ni.haki yao
Sisemi kwamba haikuwa halali maana hata mpira sijauangalia wala kusikiliza kwenye radio, lakini wangekuwa na nidhamu ya mchezo wakaepuka kupata red card pengine tungekuwa tunaongea mengine, ndo mpira ulivyo hongereni Yanga poleni Mbeya City labda baada ya kipigo hiki mtapunguza kuongea na kuwa na heshima kwa waliowatangulia.
 
ahibbaiy ahibbaiy el yoom yaumunaa ma3alesh yanga fooq fooq laa nubaaliy bifaudhwaa simba el majnuun
 
Mbeya City wamejitahidi lakini bado hawajakomaa kimpira. Tatizo wapenzi wao wanamatumaini au ndoto ambazo ni unrealistic
 
Kadi nyekundu imewamaliza Mbeya City.
Kwani kadi ilitolewa dkk ya ngapi na goli dkk ya ngapi au visingizio tu? tumeshawaonjesha sasa kila anayekuja atajipigia tu kama wale mashetani wa BPL.
 
Kwani kadi ilitolewa dkk ya ngapi na goli dkk ya ngapi au visingizio tu? tumeshawaonjesha sasa kila anayekuja atajipigia tu kama wale mashetani wa BPL.
Mkuu usiwe mbishi, kwenye timu anapotolewa mmoja timu hupungua nguvu, halafu mimi sina uhusiano wowote na Mbeya City.
 
Kwani kadi ilitolewa dkk ya ngapi na goli dkk ya ngapi au visingizio tu? tumeshawaonjesha sasa kila anayekuja atajipigia tu kama wale mashetani wa BPL.
swali zuri, nyongeza ni kuwa kadi wakati inatolewa, goli lilikuwa lishafungwa kitambo sana!
 
[h=5]Azam TV
[/h]Mbeya City kipindi cha pili ilicheza punguffu baada ya nchezaji wake kutolewa kwa kadi nyekunduu..na kuwapa openyo Yanga FC kurusha mashambulizi kwa kiasi kikubwa na kukosa kosa nafasi nyingi za kujiongezea magoli.

lakini mwisho Yanga imeondoka na ushindi wa 1 kwa 0..
 
el yoom yuum el biryaan wa chips bi maa nafrah bil ghalaba haggal yanga
 
Hatimae binti yetu amekua sasa.....Kichapo kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom