Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Jamani nauliza tu, Hivi TAMBWE magoli aliyoyafunga kwa timu za majeshi ni mangapi?
mana nimesikia leo uwanjani watu wanadai timu za majeshi ndio zinampa tambwe ufungaji bora.

mambo ya tambwe achana nayo..mbeya city leo wamepigwa na yanga
 
Jamani nauliza tu, Hivi TAMBWE magoli aliyoyafunga kwa timu za majeshi ni mangapi?
mana nimesikia leo uwanjani watu wanadai timu za majeshi ndio zinampa tambwe ufungaji bora.
Kwani washambuliaji wa timu zenu hawakutani na timu za majeshi? Kwa taarifa tu hao Mbeya City mnaojidai nao leo alishawafunga mawili.
 
ndio mana inashauriwe iwepo timu moja tu ya majeshi...nyngi dhaifu tambwe anajipgia tu.
 
Kwani washambuliaji wa timu zenu hawakutani na timu za majeshi? Kwa taarifa tu hao Mbeya City mnaojidai nao leo alishawafunga mawili.

Sijui huko Sokoine mkienda mtapona?
 
Safi sana yanga, tusubiri simba watakavyofungwa ndio waone kuwa yanga ni timu bomba na kuwa imeifunga timu wanayoigopa
 
wewe utakuwa umezaliwa mwaka huu.waulize kina Makoye wakwambie kuwa Yanga ilishawai kuweka mpira kwapani
 
Tulioshinda goli nyingi hatupigi kelele, nyinyi nakagoli kenu kamoja kelele kibaaaaooooo.

Inategemea hizo goli nyingi umemfunga nani na umezifungi wapi, utalinganisha goli moja kwa mrembo ndani ya movenpik au kempisk na goli nne kwa mbwia unga wa uwanja wa fisi? Timu ina washabiki wawili tu Ndetichia na wewe alafu mnataka front page?
 
Back
Top Bottom