Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

mbeya city wamelala leo mbele ya vijsna wa jangwani ...yanga oyeeeeeee.....
 
Masikini mnyikungu pole sana. Yanga ndio hiyoooooo inapaaa. Nini Mbeya city?????


cc: mnyikungu
 
Haki ya mungu hawa Mbeya City leo wna kazi na nilijua tu haya yote yatatokea!
 
mbeya city wanabutua tu na kucheza rafu mpira umewashinda....mbeya city kandanda hawawezi bora wajiunge na rugby....
 
mbeya city sijui walikuwa wanashindaje mechi zao...?yani ni weupe sana hawana.kitu kabisa...wamelala doro
 
Back
Top Bottom