Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

hahah basi ungana na mwambusi kutafuta visingizo vya kunyukwa leo...

ha ha ha haaa...hatuna sababu ya visingizio...mechi tumeiona....madhaifu tumeyaona naamini tutayafanyia kazi
 
ahibbaiy ahibbaiy el yoom yaumunaa ma3alesh yanga fooq fooq laa nubaaliy bifaudhwaa simba el majnuun

Wewe sijui bado upo kwa sangoma unapiga ramli ama...

Hebu mwambie sangoma akurudishie mshiko wako, Mbeya City kafungwa
 
sisi kazi yetu ni kipigo tu iwe umekuja na vibuyu,umekuja na coster 100 ni kichapo tu hata ukiwa mwanga utakula kamoko tu kakuume vizuri hahahahahaahah yanga oyeeeeee
 
mnyikungu upo hapo? nilikwambia watoto wa jangwan hatubabaishwi na uchawi
 
Last edited by a moderator:
Wewe sijui bado upo kwa sangoma unapiga ramli ama...

Hebu mwambie sangoma akurudishie mshiko wako, Mbeya City kafungwa

anaa akhuy yanga dam dam kama wew mbeya city rudi nymban bi ssalaam laa tushawwish ahlal madiina
 
goli limefungwa kipindi cha kwanza, card imetoka kipindi cha pili, ilikuwa faulo, aliuzuia kwa mkono, kilichosababisha kadi, nahisi alitoa lugha chafu kwa refa.

jamaa kwa visingizio............ eti walicheza pungufu ikawapunguzia kasi ya mashambulizi kipindi cha kwanza

walikuwa wapi sasa kufanya hayo mashambulizi
 
Back
Top Bottom