mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
vibuyu vya mbeya city leo havijafanya kazi
leo najuuta kuwafahamu..havijafanya kazi bwana...uchawi wa baharini tutauweza sisi
vibuyu vya mbeya city leo havijafanya kazi
nipo bwana hongereni......leo nakubali kila neno..nitafanyaje sasa nshafungwa
Asante............
Ila Kimoja tu ilibidi iwe vitatu
hhaaaaaaaaaa
unajua sikuzote binti anapokuwa anatolewa bikra kwa mara ya kwanza huwa anapata maumivu sana, inabii uwe na huruma kiac so kimoja kinakuwa kinamtosha ila siku nyingine itakuwa round za kutosha tu coz njia itakywa imeshafunguliwa
Kimoja cha leo kizuri, kwa kuwa-Unajua sikuzote binti anapokuwa anatolewa bikra kwa mara ya kwanza huwa anapata maumivu sana, inabii uwe na huruma kiac so kimoja kinakuwa kinamtosha ila siku nyingine itakuwa round za kutosha tu coz njia itakywa imeshafunguliwa
Wabongo bhana! tunatoka uwanjani kila mtu anasema lake, mara Azam kafungwa 2-1, mara kashinda 4-1, mara 3-1, na simu yng ilikuwa inasumbua netwk, sikujua ukweli ni upi, wengine walikuwa wanafurahia kabisa, kumbe fix tupu!
jamaa kwa visingizio............ eti walicheza pungufu ikawapunguzia kasi ya mashambulizi kipindi cha kwanza
walikuwa wapi sasa kufanya hayo mashambulizi
maneno mengi.. mngeshinda 4-0 kama Idomitable SSc jana sijui ingekuwaje!
Walitamba sana hao, lazima waweweseke!
Unajua sikuzote binti anapokuwa anatolewa bikra kwa mara ya kwanza huwa anapata maumivu sana, inabii uwe na huruma kiac so kimoja kinakuwa kinamtosha ila siku nyingine itakuwa round za kutosha tu coz njia itakywa imeshafunguliwa
anaa akhuy yanga dam dam kama wew mbeya city rudi nymban bi ssalaam laa tushawwish ahlal madiina
Walitamba sana hao, lazima waweweseke!
maneno mengi.. mngeshinda 4-0 kama Idomitable SSc jana sijui ingekuwaje!
Mpira uwanjani, majina kwenye makaratasi.Hivi mlicheza na timu gani jana???