Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Za kucha... vp penalty ni halali...maana muamuz asije fungiwa mwaka
Kiuhalisia faulo imefanyika nje ya 18yds, mwamuzi alikuwa mbali, hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua ipigwe penati. Ile ni human error, Azam TV walipoonesha slow motion Wazee wakaona vurugu zikalipuka, Azam TV wamekosea sana, makosa kama yale huwa hayarudiwi, yana madhara kwa binadmu na mali. Wajifunze kwa SuperSport.
Kilele kipi?
Droo zingine mlikuwa mnashangilia, imekuwaje droo ya leo mmefanya fujo!
Ooh Yanga ndo wenye vurugu, hawa wanaopigwa mabovu siyn Simba.
droo ya nini, kabati, kitanda au meza?
na wewe kumbe mtumia viroba?
Makoye Matale,,,,,,,,,haya matusi sasa.
Dk 90+4
Simba SC 1 - 1 Kagera S
Kagera wanapata bao kwa penati inayokwamishwa kimiani na Salum Kanoni beki wa kulia na mchezaji wa zamani wa Simba...
Mpira umekwisha....
Mashabiki wa Simba wanafanya fujo na askari wa FFU wanafanya kazi yao....
Sijui kwa nini leo mashabiki wa Simba wanafanya fujo wakati kwao droo ni sawa na ushindi...namna gani paleee
Ila kwenye kupiga kura hawakutuma mwakilishi unadhani walitumia mbinu gani kusimika viongozi kama eneo la tukio hawakuwepoYanga mngepewa kombe kabisa ndo tucheze mpira hamuwezi kununua wachezaji,marefa, hadi kusimika safu ya viongozi wa TFF halafu haya yasitokee.Yanga bingwa
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mwaka huu simba mnalo, huu ni mwaka wa mbeya city na azam
Yanga mngepewa kombe kabisa ndo tucheze mpira hamuwezi kununua wachezaji,marefa, hadi kusimika safu ya viongozi wa TFF halafu haya yasitokee.Yanga bingwa
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kuna shabiki wa simba kapigwa tanganyika jeki na polisi anatembelea ncha ya kucha
Hizo sio fujo wanashangalia kwa style nyingine kwani tatizo hawakuja na bendera za kutosha wameamua kung'oa viti ili wanyanyue juu kushangilia (wamejisahau wakadhani viti havina gharama kama matawi ya miti ndio ffu wameingilia kati)