tatizo simba walianza kushangilia ushindi kabla mpira haujaisha. Tena wanastahili kupokonywa hata hiyo pointi moja then mechi zilizobaki simba acheze bila mashabiki uwanjani.
kwanini wanashindwa kuwa wavumilivu ?. Mbona sisi wakati zile 3 zinarudi tulikuwa wavumilivu sana ?. Simba ni timu ambayo mashabiki wake sio wastaarabu hata kidogo, kwanza ni wanywa viroba maarufu sana