Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

Kuna matusi mengine CCM wanadhani wanatukana Chadema kumbe wanatukana wananchi...Kusema Halima Mdee si mwanamke mpaka aende labour, ni kuwatukana wagumba wote kuwa si wanawake! Namsahangaa Wema Sepetu kupigia kampeni CCM ilhali anatukanwa kwa ugumba!

Uzuri wanawake wengine japokuwa hawajazaa lakini sio wasagaji.
 
1. Chilolo amchana lowasa mbaya

2. Live mwigulu akiwachana ukawa

3. Bulembo- gwajima amesema misikiti itageuzwa sunday school lowasa akiingia ikulu na lowasa hajamkemea
4. Bulembo - gwajima amesema lowasa hataki kura za wakatoliki, muislim bali anataka za waluther na walokole tu
5. Bulembo- mdee anasema patachimbika hivyo amtaka kwanza aende labour kujifungua ndio aje aseme patachimbika kwani hawezi kuwa mwanamke kabla ya kupata mtoto.

6. Ukawa ni wadini, wakanda na wapenda vurugu bulembo amewataka watanzania kuwapuuzia na kumchagua magufuli

sasa ni zamu ya rais mtarajiwa dr magufuli kusema na wana singida
okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Comments 82 kwa 259 na comments hizo 81 nusu ni negative. Magufuli kazi anayo kama vipi toroka uje.
 
Huyo mama ni muhuni ndio maana hata wamama wanaojielewa wa CCM hawatembei nae.. Sisi ambao tumebahatika kumjua tunaujua uhuni wake tangia akiishi Uingereza mpaka alivyorudishwa hapa Tz.. Ndio maana unaona kwenye kampeni zake anatembea na machangudoa kama kina wema, shilole na wengineo.. Ni msagaji na mnunuaji mkubwa wa serengeti boys.. Hotel anayolalaga pale Dodoma kipindi cha bunge vijana wanapishana mlangoni kila siku.. Hakuna mama anayejielewa CCM anaweza ambatana na huyu kwenye kampeni zake. Hutokaa uone

Dah. Asante Mkuu Kwa Kutujuza.
 
Magufuli keshakata tamaa mzee wa watu. kaliachia genge la wahuni wamwage matusi tu
 
1. Chilolo amchana Lowasa mbaya

2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa

3. Bulembo- Gwajima amesema misikiti itageuzwa sunday school lowasa akiingia ikulu na lowasa hajamkemea
4. Bulembo - Gwajima amesema Lowasa hataki kura za wakatoliki, Muislim bali anataka za waluther na walokole tu
5. Bulembo- Mdee anasema patachimbika hivyo amtaka kwanza aende Labour kujifungua ndio aje aseme patachimbika kwani hawezi kuwa mwanamke kabla ya kupata mtoto.

6. Ukawa ni wadini, wakanda na wapenda vurugu bulembo amewataka watanzania kuwapuuzia na kumchagua Magufuli

Sasa ni zamu ya Rais Mtarajiwa Dr Magufuli kusema na wana Singida

Nido sera za kiongozi wenu haha
 
Hivi kuna la UKWELI hata MOJA hapo?
 
sasa ni zamu ya January- anasema tarehe 25/10/2015 nchi itakuwa njia panda na kuna njia mbili watanzania wanataka kuzichagua (1) Njia ya CCM imeandikwa amani, upendo na maendeleo ( 2) Njia ya pili ni ya Ukawa imeandikwa Vurugu, Udini, Ufisadi na ukanda. Watanzania mmetakiwa kuchagua njia ya ccm ambayo ni ya amani, upendo na maendeleo

Sina cha kujibu ila nimetaka ibaki kwenye reference zangu
 
Fisiemu wanapenda kuchochea mambo za udini sana, hawamalizi mkutano bila kutaja ishu ya ulutheri
 
Huyo mama ni muhuni ndio maana hata wamama wanaojielewa wa CCM hawatembei nae.. Sisi ambao tumebahatika kumjua tunaujua uhuni wake tangia akiishi Uingereza mpaka alivyorudishwa hapa Tz.. Ndio maana unaona kwenye kampeni zake anatembea na machangudoa kama kina wema, shilole na wengineo.. Ni msagaji na mnunuaji mkubwa wa serengeti boys.. Hotel anayolalaga pale Dodoma kipindi cha bunge vijana wanapishana mlangoni kila siku.. Hakuna mama anayejielewa CCM anaweza ambatana na huyu kwenye kampeni zake. Hutokaa uone
Mkuu hapo kwenye red wee acha tu, hata mimi lilinikosakosa kidogo mkuu!! Miaka ile ya 2011
 
Fisi m kamezidiwa,tusi ya nini?utadhani wao ni chama cha upinzani!
 
Back
Top Bottom