Yanga 0-1JKU.
Mbona sioni button ya like? wapi Tambwe mzee wa kusawazisha baada ya dakika mbili?
Yanga 0-1JKU.
bado unavumilia tu?
bado unavumilia tu?
Mimi sibahatishi.Nina uhakika na ninachosemaangalua usijekuwa kichekesho ukachekwa hadí na panya
Mechi ndiyo imeanza.
Dah! bac tena..naona mikia washaanza kukenua
Mechi ndiyo imeanza.
Dah! bac tena..naona mikia washaanza kukenua
Duuh kazi ipo
Karibia dakika ya 80 wewe unasema mpira umeanza.
Ushindi ni wetu.
jifariji mkuu.yanga hakuna timu hapo
mmmmmmmmmmmmmmmhhhkazi hapo hakuna, bonanza hilo. Kazi ipo kwenye vpl.
hahaha kisa wameifunga jangombe nneMchekea uliwaharibu wakajiona wanatimu.
Ushindi upo Mkuu, aminia.