Makoye Matale, Bantu lady na wengine.
Kipindi hiki cha pili Yanga wameamka na hawa JKU wasipokuwa makini watafungwa sasa hivi.
Yanga daima mbele, nyuma mwiko. Yanga imara....
Mtibwa wamepita kwa changamoto ya mikwaju ya penati, Mtibwa kukutana na JKU au Yanga.
bana miguu kabisa . hahahhahaa
mlikua. kundi jepesi
mlikua. kundi jepesi
mlikua. kundi jepesi
Kama nyie mikia kwa Jang'ombe.