Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,547
- 2,194
Bora azam watoke
Mtibwa kukutana na JKU nusu fainaliMtibwa wamepita kwa changamoto ya mikwaju ya penati, Mtibwa kukutana na JKU au Yanga.
Bora azam watoke
hizi siyo habari nzuri kwa yanga hata kidogo
Mtibwa kukutana na JKU nusu fainali
mbona kitu kile kile maana hata azam wangeshinda wangekuwa na kibarua ngumu
Bora azam watoke
Ngoja wenyewe waje.
Dakika ya 30, Yanga 0 - JKU -0
Mko dhoofu hali kwa leo.
Sherman yupo? Mzee wa kubinuka makalioSubiri mpira uchezwe dakika 90.