Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Mko dhoofu hali kwa leo.
Mpira unachezeka, JKU nayo si haba. Siyo Jang'ombe hii ya kubugizwa.
Mko dhoofu hali kwa leo.
Bartez, Twite,Osca J, Canavaro, Yondani, Telela,Msuva,Cothinho,Tambwe, Sherhman,na....Mwenye orodha ya kikosi cha yanga atupe
Half time tukirudi tunapenya. Mungu saidia Yanga yetu.
- Mechi ya Kwanza Itapigwa Hivi Punde Kati ya KCCA na Polisi Zanzibar
- Mechi Kali ya Pili Itakua Kati ya Azam na Mtibwa Sugar
- Yanga na JKU iTapigwa Saa 2.15 Usiku
Stay Tuned with Mkolaji; Makoye Matale
Kwani unadhani hatutaongea mengine?Tatizo watu wanataka hela za viingilio vya Simba na Yanga lakini wangeacha mpira uchezwe leo tulikuwa tunaongea mengine hapa.
Leo lazima mkumbuke Mungu, vinginevyo JKU inawatoa jasho la damu.Aminaaaaaa!.
Half time tukirudi tunapenya. Mungu saidia Yanga yetu.
Kwani unadhani hatutaongea mengine?
kama mmeshindwa kuwafunga kipindi cha kwanza kipindi cha pili msahau huwa wanakaza sana kipindi cha pili waulizeni mtibwa na simba walikuwa wanaomba mpira uishe.
tulia uone kandanda kaka
kama mmeshindwa kuwafunga kipindi cha kwanza kipindi cha pili msahau huwa wanakaza sana kipindi cha pili waulizeni mtibwa na simba walikuwa wanaomba mpira uishe.
Ngoja wenyewe waje.