Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

Mpira wa adhabu kuelekea langoni kwa azam, dk ya 24 mtibwa 0-0 azam
 
Kona ya tatu kuelekea upande wa mtibwa
 
Polisi zanzibar wametinga nusu fainali baada ya kuitoa kcc ya uganda, sasa watakutana na simba ya dar es salaam katika hatua ya nusu fainali.

Psychologically tulikuwa tumejiandaa kukutana na KCCA, lakini tactically and technically tumejiandaa kupambana na timu yoyote.
 
  1. Mechi ya Kwanza Itapigwa Hivi Punde Kati ya KCCA na Polisi Zanzibar
  2. Mechi Kali ya Pili Itakua Kati ya Azam na Mtibwa Sugar
  3. Yanga na JKU iTapigwa Saa 2.15 Usiku

Stay Tuned with Mkolaji; Makoye Matale

Amani iwe kwenu. Maajabu yameanza kutokea katika mashindano haya baada ya mende (Polisi Zanzibar) kuangusha kabati (KCCA). No more comment.
 
SIMBA lazima wacheze FAINALI na lazima warudi Bongo na MIDALI.

mechi ya Mtibwa na Azam bado haijatabirika ni nani anaweza kuibuka mshinda kwani wote wanaviziana tu.
 
Ally Shomary anaipatia Mtibwa bao
 
Back
Top Bottom