kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Huyu jamaa katulia sana, Rais wa nchi inafaa uwe active kikauli na kivitendo. Kuongoza Afrika inafaa uwe mkali ukiongea wafisadi viroho vinawadunda sio wanakuna vitambi na kucheka kwa mazereu.
Kasome katba ww znz ni nchiShein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
Mi nafikiri unamaanisha mpambe wake na sio bodyguard na ni yule ambaye amevaa sare za jeshi. Kama una maana ya huyo,basi TV yako haioneshi TBC itakuwa ni channel ingine ila mimi nimemuona. Kuujua ulinzi wa rais ulivyo utajipa kiwewe,pika ugali ukalale achana na hizi mambo usizozijuaWanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?
Acha uongo wako weweWanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?
Lete picha , ila una utani sana. Kajaribu kusogea, yani wakati bado unafikiria usogee vipi watu wanakuchukua kama waganga wa kienyeji vileWanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?
Eight parks men are there just turn on ur TV againWanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?
Shein ni rais wa Zanzibar! Zanzibar ni sehemu ya nchi ya Tanzania! Rais wa nchi ya Tanzania ni Magufuli!!Usilete hadithi nyengine ya ukosefu wa akili.Sasa naamini asilimia kubwa ya watanganyika ni vichaa.Ikiwa hata Manji,Mengi,Daimoni wana walinzi itakuwa Dr.Shein anayo wakilisha nchi iliotowa makamu wa Rais,Mawaziri mabalozi(wa nchi za nje) na wabunge zaidi ya 70?
Wanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?
Zanzibar siyo nchi na wala haitambuliwi kimataifa! Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na inalindwa na majeshi ya Tanzania!Kasome katba ww znz ni nchi
HAPA NDO KUNA KOSA LA KIUFUNDI,MAGU NI RAIS WA TANZANIA NA SHEIN NI RAIS WA ZANZIBAR.Shein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
Sio kaunta suti bali kaunda suti. Siku nyingine usifanye makosa kama haya.Mbona kaunta suti...
Ameapa kama waziri wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!Raisi wa Zanzibar ana mamlaka gani katika ardhi ya Tanganyika?
Ha ha ha ha ha bangi mbichiNdiyo, ni jirani yetu.
Wanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?