Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

Shein ni rais wa Zanzibar! Zanzibar ni sehemu ya nchi ya Tanzania! Rais wa nchi ya Tanzania ni Magufuli!!
Sahihisho:Kwa mujibu ya Katiba ya Zanzibar -Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.

Zanzibar na
Muungano.
Kif. 4 cha
Sheria Nam.
9/2010
.
Zanzibar si sehemu ya nchi ya Tanzania.
 
Kwani zanzibar siyo nchi?
Naona kama wanatumia jeshi letu na pesa zetu... Hata huyu Shein alipata nafasi ya uongozi wao kwa maamuzi yaliyofanyika Dodoma.... Maadam amepigiwa kura, basi tusimlinganishe na mkuu wa mkoa bali Meya wa mji.
 
Acheni uchochezi buana mbina kashuka naye tu vizuri unafikiri aliosimama nao ni maboya tu hapo? kuna ulinzi
 
Shein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
Soma marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010 unajua Zanzibar ni nchi au sio nchi
 
Mkuu wa mkoa anakagua gwaride na kupokea 21 gun salute!? Acha mzaha
Nadhani unajua kusoma vizuri... hebu nisome vizuri hapo chini ili ujue aliyeleta mzaha ni nani...

Ila kukagua gwaride hata waziri wa mambo ya ndani hukagua gwaride la polisi.
Kuna watu wanasema eti Yule ni sawa na Makonda tu. Ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar

Watu bhana...
 
Shein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
ati Zanzibar sio nchi? ungekuwa kule upande wa pili wa muungano ungewekwa lupango.
 
Aiwezekani. Una macho. Wanaitwa ADC. Kwa keo ni mrefu ni Col

No Aide de' Camp wa Shein ni luteni kanali mkuu,Aide de' Camp wa Magu ndio full kanali
yaani wa znz ana ngao ya umeja na nyota moja, wa Magu ana ngao ya umeja na nyota mbili.
 
Kuna watu wanasema eti Yule ni sawa na Makonda tu. Ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar

Watu bhana...

Hapana yule ni Gavana wa Tanganyika Upande wa Kolini lao la Zanzibar. Ni sawa na Mayote yupo Gavana wa France...
Unaambiwa Mayote ni wafaransa. Wanazo Passport za France Lakini Hali yao kama afrika wenginene njaa tupu. ...lakini wapo kina shein kule wanawekwa na kuvaa beji za France.
 
Au body guard kasepa naye kisa ule uchaguzi haramu hakuna anaye ukubali hata familia yake?
 
Back
Top Bottom