Bobwe2
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,708
- 2,885
Lazima tutapike haiwezekani rais wa zanzibar alindwe na vikosi vya ulinzi vya tanganyika.Wakikusikia wazenji watakutapikia kweli kweli.
Lazima tutapike haiwezekani rais wa zanzibar alindwe na vikosi vya ulinzi vya tanganyika.Wakikusikia wazenji watakutapikia kweli kweli.
Acha kutisha watu we we kijana...
Mkuu Wa wilaya ya zenjibari
zanzibar ni nchi ndio maana shein anapigiwa mizinga kwenye sherehe ya mapinduzi ya zanzibar soma katiba ya zanzibarShein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
Kimataifa hana hata mlio wa mzinga mmoja, hupokelewa kama Mhe. Majaliwa hivi. Ndio hadhi yake nje ya EACzanzibar ni nchi ndio maana shein anapigiwa mizinga kwenye sherehe ya mapinduzi ya zanzibar soma katiba ya zanzibar
Hawakukosea kabisa nchi hii ina vichaa wengi sana maana kama huyu huwezi kusema eti ana upeo mdogo wa kuchambua mambo.Nimeamini kweli vichaa wapo wengi
Unawajua walinzi wa shein wewe?
Kuna watu wanasema eti Yule ni sawa na Makonda tu. Ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar
Watu bhana...
Wazenji WAMEJICHANGANYASasa kama ndiyo hivyo ina maana hata Maalim alikuwa analilia awe sawa na Makonda?
Sawia kabisa. Kuuongoza mkoa wa Zanzibar sio cheo kidogoSasa kama ndiyo hivyo ina maana hata Maalim alikuwa analilia awe sawa na Makonda?