Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
21,854
Reaction score
27,025
Wanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.

Imekaaje?
 
Wanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama.
Imekaaje?
Shein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
 
Wapo undercover na ma informers wakutosha wengine wapo kama wale wa utafiti wa robo ya watanzania
 
Shein siyo Rais wa nchi bali ni rais wa Zanzibar! Rais wa nchi ni Magufuli hivyo tofautisha! Zanzibar siyo nchi!
Usilete hadithi nyengine ya ukosefu wa akili.Sasa naamini asilimia kubwa ya watanganyika ni vichaa.Ikiwa hata Manji,Mengi,Daimoni wana walinzi itakuwa Dr.Shein anayo wakilisha nchi iliotowa makamu wa Rais,Mawaziri mabalozi(wa nchi za nje) na wabunge zaidi ya 70?
 
Back
Top Bottom