Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
nakwambia hawa ndugu zetu wanajua kila kitu.
wanajua kama wazanzibari watu wazuri, ukimkuta mbongo asiependelea atakwambia mie nnafurahishwa sana na watendaji wa serikali kutoka zanzibar.
anza na marehemu dr omar ali juma, mzee mwinyi, na wengine hata huyu sheni utaona wanafanya kazi kiudhati kuitumikia nchi tabu kumkuta mzanzibari tamaa kama kina karamag i na wenziwe tokea tulivyoanza akina othman sharif abrahman babu thabit kombo na wengi tumetumikia serikali ya mungano bila ya kuwadhulumu au kuiibia na wanajua.
ila kwa kuwa tunapenda uadilifu ndio wanatudharau na kutuona tumelegea.
lkn ukweli wanaujua kuwa ss ni watu makini ila wanatubania.
na tukipata hivi vijifursa watakoma urais wamemnyima mzee salim hii nchi ingekuwa mbali lkn ndio hivyo wee acha tu
Mtu wa Pwani,
ni watanzania wachache sana (waliozaliwa baada ya mwaka 1964) wanaofikiria vibaya hivyo kuhusu watu wa visiwani au bara. Nadhani haitakuwa generalization nzuri kutumia waliyofanya ccm (kumzima Dr Salim kuwa rais) na kusema kuwa watanzania wote hawapendi watu wa visiwani.
Maazimio ya ccm siku za karibuni sio kwa manufaa ya watanzania wengi ndio maana nilipigana sana na Mchambuzi hapa na kampeni zake kuwa rais ajaye lazima awe mkristo!