Engineer Mohamed
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 451
- 11
Invisible a.k.a MAXIMO.......
inakuwaje kaka?tupe BREAKING NEWS!!!!!!!
inakuwaje kaka?tupe BREAKING NEWS!!!!!!!
Invisible a.k.a MAXIMO.......
inakuwaje kaka?tupe BREAKING NEWS!!!!!!!
engineer hawa viromo romo hawana lolote wanapigwa bao tu leo.
kazi ksho wanaume wa shoka tutavyowahenyesha warwanda
Issa Michuzi ameshaweka kwamba jamaa wa Sudan washatupiga 2-1
engineer hawa viromo romo hawana lolote wanapigwa bao tu leo.
kazi ksho wanaume wa shoka tutavyowahenyesha warwanda
Msija mkawa wanaume wa SKETI!!
Mpira umekwisha na tumepigwa yale 2-1 na tumeshatolewa rasmi kwenye Chalenji Cup - Michuzi ameleta hii dakika chache zilizopita.
Msija mkawa wanaume wa SKETI!!
kawaida yenu kutudharau, mara twala urojo, mara tunakandaniza kizenji mara hivi mara vile.
lakini ukweli njiliosema mmeuona kuwa nyny hamna soka nyny kazi kelele tu.
uliza nn tumewafanya wahabeshi, na waulize hao wasudani walituonaje tulivyocheza nao?
ss marijali, huko kutufinya tu lkn mkitaka muendelee hiyo serikali mtupe sie muone ss tukiamua kufanya jambo wallahi tunafanya na mnajua.
kesho tunamtia mtu adabu.
tunafanya ile kaka mpigia
yaani msikonde ndugu zetu kesho tutakulipizieni kisasi msikonde watatukoma.
na kama simba mtoto na maalim seif wakikuwepo uwanjani ndio watazidi kulia wana wa kagame
Huyo MINIMO si kocha bora mkataba wake uvunjwe ili atafutwe kocha mwingine mapema.
mtu wa pwani......
safari hii URAIS wa muungano ulikuwa zamu yetu,wakatuletea MIZENGWE weeee lakini poa tu,sisi kimya twawaangalia tu na RAFU ZAO.
wamesahau AWAMU YA PILI YA MZEE RUKHSA MZANZIBARI mambo yalikuwaje,maisha yalikuwa SMOOTHSSS kabisa.
kesho MOLA AKIPENDA USHINDI LAZIMA.
Mpira umekwisha na tumepigwa yale 2-1 na tumeshatolewa rasmi kwenye Chalenji Cup - Michuzi ameleta hii dakika chache zilizopita.
sasa msichanganye madawa..hapa wekeni soka...UKIRITIMBA KILA ENEO LA NCHI...
kama hujaelewa ni kuwa bongo hakuna vipaji na tatizo sio kocha.
usimlaumu seremala wakati mti ni mbovu.
huku bara kuna wadandiaji mtu huwezi kuanza mpirea sekondari.
kule tunajifunza mpira tokea utoto na ukimkuta anaecheza mpira kaamua kucheza mpira kweli na hatuchezei misifa kama hawa wenzetu.
na zaidi subirini kesho tunatoa funzo na kuwapa zawadi ya xmas kwa watanzania.