Live streaming links

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,596
8,878
Wakuu naomba kwa wanaojua wanisaidie links za live streaminh ambazo haziitaji buffering ili nichek live mechi ya fa cup final
 
Wakuu naomba kwa wanaojua wanisaidie links za live streaminh ambazo haziitaji buffering ili nichek live mechi ya fa cup final
Mkuu kwanza unatakiwa kujua maana na kwa nini Buffering inatokea unapofanya streaming!!
 
Hebu tuwekee hapa mfano mwingine wowote ule unaoujua wewe wa live streaming ambao haufanyi buffering halafu sisi tutakuwekea live streaming ya FA ambayo haifanyi buffering!
 
Uwe na 4g handset
Handset siyo sababu pekee inayosababisha buffering kutokea. Ni mfumo mzima katika network kuanzia huko wanako broadcast, hadi kukufikia. Its complicated hata ukiwa na 4G LTE bado kuna kipindi ita buff.
 
Ni Kweli lakini inasaidia kuna app natumia download speed ikiwa chini ya 5 mbs ni shida ikiwa zaidi ya hapo sijawahi kuona...sasa hiii ya voda si ndio wanasema inafika hadi 200
 
Ni Kweli lakini inasaidia kuna app natumia download speed ikiwa chini ya 5 mbs ni shida ikiwa zaidi ya hapo sijawahi kuona...sasa hiii ya voda si ndio wanasema inafika hadi 200
Kuna kipindi Netflix inabuff Kwenye network ya 300 Mb!
 
Back
Top Bottom