Mkuu kwanza unatakiwa kujua maana na kwa nini Buffering inatokea unapofanya streaming!!Wakuu naomba kwa wanaojua wanisaidie links za live streaminh ambazo haziitaji buffering ili nichek live mechi ya fa cup final
Handset siyo sababu pekee inayosababisha buffering kutokea. Ni mfumo mzima katika network kuanzia huko wanako broadcast, hadi kukufikia. Its complicated hata ukiwa na 4G LTE bado kuna kipindi ita buff.Uwe na 4g handset
Wakuu naomba kwa wanaojua wanisaidie links za live streaminh ambazo haziitaji buffering ili nichek live mechi ya fa cup final
Kuna kipindi Netflix inabuff Kwenye network ya 300 Mb!Ni Kweli lakini inasaidia kuna app natumia download speed ikiwa chini ya 5 mbs ni shida ikiwa zaidi ya hapo sijawahi kuona...sasa hiii ya voda si ndio wanasema inafika hadi 200