guru_observer
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 171
- 295
Nimerejea mjini hivi karibuni, kwa hiyo nitazidi kuongeza channel kwa kadri siku zinavyoendaIpo vizuri na quality ipo sawa ila channel ni4 tu Mkuu, ungejaribu kuongeza ongeza hata ITV nayo iwepo
Just skip hilo ni tangazo tuuIko poa, ila inanitaka niinstall phoenix browser kwa nguvu au ni tangazo?
Tumefanya changes kwenye interval ya adds pamoja na kuongeza channels nyingineAiseee app ni nzuri ila Ads ni zinaleta usumbufu ebu zitoe
Ni app mpya so itachukua muda kidogo kuanza kuonekana kwenye search results za play store inaitwa Pure Entertainment ndio maana nimeshare link itayo kupeleka moja kwa moja play storeMkuu tuelekeze namna ya kuipata playstore moja kwa moja link inazingua
Kwangu inagomaNi app mpya so itachukua muda kidogo kuanza kuonekana kwenye search results za play store inaitwa Pure Entertainment ndio maana nimeshare link itayo kupeleka moja kwa moja play store
Kiukweli hakieleweki kitu saiviTatizo wakishasifiwa huwa wanalewa sifa wanaharibu, mwanzo ilikuwa nzuri sana hii app, ilikuwa na channel 4 ambazo zipo clear na zinaenea kwenye screen hadi raha, lkn sasa unakuta channels zinapotea tu, matangazo kama yote, halfu ukitaka chennel inakupeleka mpk google browser(Chrome) huko ndio ianze kustream ikiwa nusu na sio kujaa kioo tena.
Sawa ila naomba niulize swali kama hutojali, kwanini Azam2 na Cinema Zetu zinapotea potea!?App iko poa kwa sasa, tumepunguza ads, kama bado unapata ads nyingi, bonyeza settings kisha bonyeza clear caches
App iko poa jamaa tupo vizuri nmeipenda sana hii appApp iko poa kwa sasa, tumepunguza ads, kama bado unapata ads nyingi, bonyeza settings kisha bonyeza clear caches