Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Mahojiano yake yanaendelea sasa redioni humo.
Afadhali ameibuka, wengine tulidhani ameshastaafu!!Mahojiano yake yanaendelea sasa redioni humo.
Afadhali ameibuka, wengine tulidhani ameshastaafu!!
ONLINE anapatikanajeMahojiano yake yanaendelea sasa redioni humo.
Listen to East Africa Radio on TuneInONLINE anapatikanaje
Mkuu, naomba radhi kwa hilo. Nimetingwa na majukumu ya kikazi. Nategemea wapo wanaosikiliza na watadokeza.Mleta uzi ingefaa zaidi kama ungeweka nq updates kunufaisha wengi hata ambao wapo mbali na radio kwa qakati huo.
Mnavuta wote Mkuu?Kashajichokea huyo,hana lolote mibange tu
Mmh una uhakika?Kashajichokea huyo,hana lolote mibange tu
Kasemaje?? Wewe ni kusifia tu.Safi sana
Swissme
Meya wa ubungo alipata pesa kutoka bank ya dunia,nia ya pesa hizo zilikuwa ni kumaliza tatizo la mafuriko dar es salaam,lkn kwa kuwa ukawa ingepata sifa mtoto wa dada yake mh magufuli akakataa kusaini huo mkopo wa bank ya duniaMahojiano yake yanaendelea sasa redioni humo.