Live on East Africa Radio:Halima Mdee (MB) akichambua mafanikio na changamoto za Jimbo lake la Kawe

Amejipangaje athari ziletwqzo na mvua maana ina athiri zaidi jimbo lake la kawe maeneo kama ya basi haya, nyaishizi, boko, bunju na maeneo yanayozunguka eneo athirika
 
Mleta uzi ingefaa zaidi kama ungeweka nq updates kunufaisha wengi hata ambao wapo mbali na radio kwa qakati huo.
 
Mahojiano yake yanaendelea sasa redioni humo.
Meya wa ubungo alipata pesa kutoka bank ya dunia,nia ya pesa hizo zilikuwa ni kumaliza tatizo la mafuriko dar es salaam,lkn kwa kuwa ukawa ingepata sifa mtoto wa dada yake mh magufuli akakataa kusaini huo mkopo wa bank ya dunia
 
Back
Top Bottom