Live now: ITV mjadala mzito wasomi wabobezi wanashiriki

Live now: ITV mjadala mzito wasomi wabobezi wanashiriki

Tusikubali kuwa Na utii bila demokrasia Na demokrasia bila utii huo ni wendawazimu.Dr Bana.
 
Dokta Bashiru yupo vizuri na Balile,,,huyu dokta bwana ,mmmmmh,,,kada wa Chama cha kijani
 
Dr.Bana siasa bora aachane nayo,akalime.Ni hasara kuwa msomi asiyeweza kusimamia elimu yake badala yake anatetea udhalimu
 
Kuwatumia wanajeshi kuwa wasuluhishi wa wanasiasa. ..kuna siku watatamani kuwa juu ili kuzuia ugomvi usitokee. ..Balile
 
Huyu bana angejitambulisha tu kuwa yeye ni kada wa ccm maana siuoni hata huo udor wake
 
Bashiru:Ni hatari kwa majeshi kutumika kupatanisha migongano ya wanasiasa.

Balile:Rais Magufuli aache kupambana na wanaomkejeli.

Bana anazungumza pumba na unafiki tu.
 
Huyu Balile niliwahi kudhania kuwa ni mtu makini kumbe ndio wale wale waganga njaa wasio na fikra huru na kujikomba kwa watawala wakitegemea kusikika na kulipwa fadhila. Ovyo kabisa heri wangemwita mhariri WA uhuru angeshusha nondo za uhakika
 
Wasomi gani ambao hawaongei bila kuwa na concrete solution kwa kutumia mifano. Mifano kwenye mada yenyewe wameikwepa...!! Hawajasema ni jinsi gani tutajikwamua, na Je umasikini trends yake kwa Tanzania ukoje?? Na unapungua au unaongezeka? Walijadili utafikiri watoto wa secondary. Literature review was too shallow with only two or three citation.
 
Naukosa huo mjadala ,dah,ila ni matokeo ya awamu ya Tano,tv zetu wenyewe wabongo zina package yao iitwayo "LOCAL" kwenye ving'amuzi..
HAPA KAZI TU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom