Live now: ITV mjadala mzito wasomi wabobezi wanashiriki

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
Mada

Nchi za africa kuendelea kukabiliwa na changamoto zilezile tangu wakati wa uhuru

Je mikakati ya kujikwamua na umaskini inalenga kiini cha Tatizo..

Sikiliza kijana mwenzangu utoe tongotongo akilini mdaa huu
 
Umaskini sio kiini cha tatizo, Elimu duni, uelewa mdogo ndio kiini cha matatizo yote. Nchi yoyote iliyowekeza katika Elimu bora kwa wananchi wake , watatambua fursa za uchumi ndani ya nchi na kuzilinda sio kusafirisha mchanga wa dhahabu nje ya nchi, watalinda afya hivyo serikali haitakuwa na gharama kuhudumia magonjwa ya milipuko.
 
Yote ni majoga tu tz kuna wasomi bqana .msituzingue .hakuna anaeweza kuongea ukweli .blaa blaa tu
 
Wasomi hawasimamii ukweli, ukweli wanaujua ila wapo kuongea kimiemko ebu badilisha channel angalia bongo movie maana Wasomi wetu hawana jipya
 
nchi nyingi za africa haxina priority pia plan zetu hazifuat priority xa nchi.nchi za africa haziwajengei uwezo watu wake ili waendelee kiuchumi.na bado ukolon mambo leo unatutesa afrika
 
Hawa maprofesa wa hii nchi sidhani hata kama hiyo elimu waliyoipata inawasaidia , anaongoe profesa hana tofauti na mtu ambaye hajaenda shule kazi kujipendekeza kwa ccm
 
Maskini Balile kaulizwa jambo A,kajibu swali B!lakini anavyojiamini.usichambuzi wa bongo bana mtu kaulizwa ukandamizwaji wa Demokrasia yeye anajibu viwanda vya toothpick
 
Dr.bashiru anasema kam haujui unakoelekea hauwezi kupotea Na hapa anasisitiza umuhimu wa kuifahamu historia hususan ktk nchi yetu
 
Naona bashiru kaamua kufunguka kuhusu matumizi ya majeshi kuingilia Uhuru na demokrasia hapa nchini.
 
Back
Top Bottom