LIVE: Nini kinatokea Ufaransa!? Mapinduzi ?

Wafaransa wanaugonjwa mkuu mmoja tu kupenda sex na kwao promiscuity sio kigezo cha kumnyima mtu madaraka upo hapo? Sasa hebu Angalia tofauti ya umri Kati ya rais Macron na mkewe utapigwa butwaa !
Nasikia nchi yako isiyokuwa na huo ugonjwa imeizidi maendeleo Ufaransa!!
 
Wazungu wamezoea

Hii ni laana...wazungu wamezoea kuchochea vurugu kwingine...sasa yamewakuta...wamechochea Libya, Iraq, Syria, Venezuela, Ukraine na kadhalika ...sasa yamewakuta....huu ni mwanzo tu....Marekani nako yatatokea haya...Europe na the USA will collapse
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fundi25
Malipo ni hapa hapa duniani, nafkiri akili zao zitakaa sawa
Duh wana mzigo mzito Sana hawa jamaa wanaishi kwa mahesabu sana nadhani mahesabu yame kwenda fyongo!
Inaweza makadirio yao kwa Bara letu la Africa na huko Asia hayaendi saw a!
Wata pata taabu Sana!
Ukiona wana weka vikwanzo sehemu yoyote juwa mahesabu ya mekuwa mazito!
Vita navyo gharama kulipa Kwake hakutabiriki!
 
Dunia ni ya ajabu sana, nchi "Shithole" ambazo watu wake kukicha hata hawajui kama watakula nini eti ndio hawaandamani.!

Labda ni sawa na mtoto wa masikini ambaye hali ya kwao anaijua vizuri kiasi kwamba hata akilala njaa hawezi kulalamika ila wa tajiri mkate ukikosa siagi anaweza akapasua sahani kwa hasira.

Sisi huku tuna shida kuliko hata mbwa au paka wa Ulaya au Marekani lkn sasa nani aandamane ndio maana tunabaki kuwashangaa wafaransa wakati huko maandamano sio "Big deal" kwani ni haki ya raia.
 
Huyu so kajifanya kuwashika masikio EU waanzishe jeshi lao ! Ndio washamuundia zengwe tens.
Nalog off
 
Vurugu zao hawashiki bunduki na mabomu, wanaandamana na kuchoma magari barabarani yani si vurugu zinazoweza kuleta vita na viongozi rahisi kuondoka madarakani na kila kitu kinarudi kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…