TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,494
- 28,414
Ha ha ha aa ! Sikujua kama Ufaransa ni sehemu ya kijiji Dunia namna hii.Maboya hao sasa tutabetije
Kivipi mkuuHa ha ha aa ! Sikujua kama Ufaransa ni sehemu ya kijiji Dunia namna hii.
Mkuu uoni Ufaransa kupata shida kidogo, sisi huku Afrika nadhani na kwa wanakubeti huko sehemu nyingine shughuli simeathrika? Hivyo dunia imefungamana...kwa muktadha huu.Kivipi mkuu
itabidi ukabet mechi za lipuli.Ndomana mechi zimeahirishwa kumbe
Hakika mkuuMkuu uoni Ufaransa kupata shida kidogo, sisi huku Afrika nadhani na kwa wanakubeti huko sehemu nyingine shughuli simeathrika? Hivyo dunia imefungamana...kwa muktadha huu.
Kuna ubaya kwani?kuna watu wanatamani kinachotokea sasa hivi huko Paris kingekuwa kinatokea bongo
kuna mswada unaandaliwa ukihisiwa kuitakia tz mabaya inakula kwakoKuna ubaya kwani?
Kwani shida iko wapikuna mswada unaandaliwa ukihisiwa kuitakia tz mabaya inakula kwako
mtaishia gerezaniKwani shida iko wapi