Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,424
- 85,868
Mpwa kwa sasa nipo kwa simu, naomba kama utaweza unitumie kwene PM ili nikiwa kwa PC niucheki, natunguliza shukrani
kuna watu ambao hawana faida kabisa katika jamii yetu zaidi ya kutafuna rasilimali zetu tu kama huyu kigagula gobole mwitu,hana cha maana anachosaidia katika nchi hii na yupo tu bado anakula jasho letu,huwa nikimuona nahisi maumivu makali moyoni kwa jinsi ninavyomchukia
Majumuisho (yanaendelea...)
2. Prof Issa G. Shivji: Mwalimu alikuwa ni kiongozi mzuri mwenye maadili. Alijaribu kusimamia mfumo japokuwa hakufanikiwa kujenga UJAMAA. Zamani kulikuwa na mabeberu ambao sasa wanaitwa "wawekezaji." Kwa sasa tunaenda kutafuta uongozi toka kwao. Tumeanza kumsaliti Mwalimu tulipoanza mfumo wa Kiliberali mamboleo, tukaleta uwekezaji. Tatizo la sasa ni mfumo. Someni Mwongozo wa CCM wa mwaka 1981 kwamba limejitokeza tabaka jipya dhidi ya Ujamaa, tabaka hilo litashinda. Hakuna Mwongozo mzuri kama huo, utafuteni muusome. Sasa tumeanza kutambua baada ya kuanza Uliberali Mamboleo, miaka 20 sasa, kwamba wakombozi wetu sio wawekezaji. Kilimo Kwanza: PM alienda Brazili, vijana wetu tumewafanya kuwa wavivu. Je, wakulima wetu tunapouza ardhi tunawapeleka wapi? Sisi tunazungumzia juu ya UTAWALA BORA, mimi sipendi UTAWALA BORA bali Azimio la Arusha lilizungumzia juu ya UONGOZI BORA. UTAWALA BORA ni wazo la World Bank. Je, utakuwa na Ubepari wa Kitaifa chini ya Ubeberu? Kuna mabadiliko makubwa ya Sheria ya Ardhi yanakuja ambayo yataleta uwekezaji...
Hakika kwenye Red huyo ndio the true son kama Mwalimu JK. Watanzania wajue kuwa hakuna mwingine aliyesalia anaejua kupanga namna ya kutuvusha.Yaaani hakika huyi ndie mfuasi halisi wa Mwalimu kwa maneno na kwa matendo."
Kama tunataka mfuasi wa kutuvusha kwenye mpito huu wa shaka ni huyu Mzee Pro Shvji hakika mmeona kupitia shairi alilosoma Pro Bashiru kwa niaba ya Mzee huyu.
Hakika shairi lilisomwa na Bashiru ni cheche mpya na salamu kwa watawala.
Nimepapenda sana point anamtambulisha kigogo wa siasa za CCM [Kingunge] wa Propaganda za CCM akatumia neno kisayansi tena kwa kusisitiza [Please] wenye akili zao waende kichwani.
poa mkuu hakuna neno ni pdf file utalikuta kwenye pm yako...Mpwa kwa sasa nipo kwa simu, naomba kama utaweza unitumie kwene PM ili nikiwa kwa PC niucheki, natunguliza shukrani
Mbona huyu dingi sielewi anachoongea? Mhhh, namzungumzia Kingunge, eti weupe wa Mzungu ndio nguvu yake.....wakati sisi tunaendesha mambo kwa ushirikina (CCM)
Mpwa kwa sasa nipo kwa simu, naomba kama utaweza unitumie kwene PM ili nikiwa kwa PC niucheki, natunguliza shukrani
This is below standard.Hivi Kingunge mbona anafanana na wachina? Au umaxist wake umemfanya afanane na wachina?
Mpwa Elli, ukitumiwa pia niforwadie na mimi kwenye PM., niupate pia. Natanguliza shukrani .
Haika, babu nilikuwa sijawahi kumpa attention yangu kama leo, yaani hadi uso umeniota kunyanzi kwa kujitahidi kumsikiliza...lol!Kuanzia leo nampenda kingunge, ana point na amewaachia vijana wajenge nchi kwa vitendo,
Afadhali kale kadingi kamemaliza