Live..mdahalo shivji,kingunge...itv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live..mdahalo shivji,kingunge...itv

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hashycool, Oct 14, 2011.

 1. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Shivj, kingunge ndani ya mdahalo live ITV maadhimisho ya kumbukumbu ya nyerere...
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hakika kwenye Red huyo ndio the true son kama Mwalimu JK. Watanzania wajue kuwa hakuna mwingine aliyesalia anaejua kupanga namna ya kutuvusha.Yaaani hakika huyi ndie mfuasi halisi wa Mwalimu kwa maneno na kwa matendo."

  Kama tunataka mfuasi wa kutuvusha kwenye mpito huu wa shaka ni huyu Mzee Pro Shvji hakika mmeona kupitia shairi alilosoma Pro Bashiru kwa niaba ya Mzee huyu.

  Hakika shairi lilisomwa na Bashiru ni cheche mpya na salamu kwa watawala.

  Nimepapenda sana point anamtambulisha kigogo wa siasa za CCM [Kingunge] wa Propaganda za CCM akatumia neno kisayansi tena kwa kusisitiza [Please] wenye akili zao waende kichwani.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ikiwezekena anayeangalia avoluntie kutuwekea hapa quick updates za mdahalo.
  sababu anapoongea Shivj huwa ni darasa mwanzo mwisho
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hivi kingunge licha ya kufanya kazi katika awamu zote nne ana lipi kubwa ambalo wa tz watamkumbuka kwalo?
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa.
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ikiwezekena anayeangalia avoluntie kutuwekea hapa quick updates za mdahalo.<BR>sababu anapoongea Shivj huwa ni darasa mwanzo mwisho
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  prof. Ng'wanza Kamata...."watanzania ni makupe"
   
 8. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Pro Shivji kaazisha mada kuhusu msimamo wa Mwalimu na Siasa za Ujenzi wa Taifa na Itikadi ya Mwalimu juu ya Wazalisha wadogo hili lakini kamwanzishia mada kwa kuwa yeye Kingunge ndiye alishiriki kuandika sera za chama cha mapinduzi hivyo azungumze kwa kuwa alikuwa kalibu na mwalimu hivyo anamjua Mwalimu vilivyo.

  Kajieleza lakini inaonekana yuko off kiasi msemaji wa tatu Pro Ng'wanza Kamata kaingilia kati kuomba kuwa labda amweleze vizuri kujua nini Pro Shivji alitaka akajieleze vizuri.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  pr. Ng'wanza...mwl alihofu juu ya ardhi ya watanzania kuuzwa kwa matajiri...huu ulikuwa mwaka 1958
   
 10. fanson

  fanson Senior Member

  #10
  Oct 14, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Great advise should be followed and not pleased...Congr Pro Shvj
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kingunge leo kama hajakimbia sijui maana kigugumizi kingi.....................
   
 12. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Pro Shvji anendelea kumbana Kingungea aelezee ni kwa namna gani mwalimu alikuwa anapambana na zana ya unyonyaji kwa kupitia tabaka.Inaonekana anakwepa swali hilo ndio maana mwanzoni nimesema muwe makini kujua Pro anaposema kuwa huyu Kingunge kisayansi ndie alikuwa mwandishi wa propaganda za CCM.Kwa sasa kaweka pending swali la Pro la Tabaka
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  anazidi kukwepa sijui kama ataenda na kasi ya Sshvji
   
 14. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Du Pro kweli Mzee huyu kichwa sana yani anamkubusha kingunge kitu alichoandika Kingunge Mwenyewe,Kingunge !!!!!!!!!
   
 15. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mwishoni kaweka wazi kuwa DOLA [SERIKALI ] ni kitu cha wachache na kuwa si MALI YA WANANCHI hakika huyu ndiye kingunge nimesema muwe makini kumuelwa Pro Shviji.Ila leo kafunga kazi kaingusha CCM.Kupitia mjadala huu CCM inakzai kuludisha imani kwa umma kwa kuwa watu makini watahoji KAULI HIYO
   
 16. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Duh! kumbe huyu ndo kingunge?....never knew him before today.
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ccm inajivunia kwa kuwa na kigagula mahiri
   
 18. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mwishoni kaweka wazi kuwa DOLA [SERIKALI ] ni kitu cha wachache na kuwa si MALI YA WANANCHI hakika huyu ndiye kingunge nimesema muwe makini kumuelwa Pro Shviji.Ila leo kafunga kazi kaingusha CCM.Kupitia mjadala huu CCM inakzai kuludisha imani kwa umma kwa kuwa watu makini watahoji KAULI HIYO
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Leteni Updates wakuu au mnataka mlimwe BAN?
  updates Plz
   
 20. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Namuona Christopher Ole Sendeka kwenye mdahalo!
   
Loading...