Live kutoka Karagwe: Operesheni M4C Pamoja Daima!

Live kutoka Karagwe: Operesheni M4C Pamoja Daima!

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Watu wameshajaa viwanja vya Kayanga wanamsubiri Kamanda wa anga Mbowe akiongozana na Mnyika, Said Mohamed na kipenzi cha watanzania wanyonge Godbless Lema.

Tatajia updates za kutosha!

Updates: Mwenyekiti wa wilaya Karagwe Kamanda Gabone anasema Ccm walifanya operesheni Tokomeza wakachoma watu makalio Chadema wanafanya operesheni Pamoja daima kuwapa pole watanzania na kuwaunganisha watanzania kuwang'oa makatili.
 
twenzetu.
attachment.php
 
Hao ndio wanaume wapambanaji, acha waeneze elimu ya uraia kwa wananchi, ujinga wa wananchi ndio ulikuwa mtaji wa ccm, imekula kwao, hongeleni sana makamanda, Mungu awaepushe na hiyana za ccm.
 
M4C pamoja Daima. Mungu atatubariki kwa kua tuko nae siku zote
 
Twanga kusini,magharibi,kaskazini na mashariki mpaka magamba washike adabu
 
Chopa haija ingia watu wamejaa.Watalia magamba wahurumieni wapumue kidogo jamani.Mbona mnamuumiza kweli Wasira anapoona ccm ndiyo inayo kufa na siyo cdm
 
Watu wameshajaa viwanja vya Kayanga wanamsubiri Kamanda wa anga Mbowe akiongozana na Mnyika, Said Mohamed na kipenzi cha watanzania wanyonge Godbless Lema.

Tatajia updates za kutosha!

tupia ka photo mkuuu....
 
Wangeenda Nigeria wamfuate Zito awasaidie maana naona walidhani ndiyo hirizi yao
 
hivi mbowe hajaacha utapeli jamani. chadema hawatofautiani na kikundi cha vibaka na majambazi wanaojiita "MBWA MWITU"
 
hapo CHADEMA ndo nawapendeaga... wanachapa kazi hivo je wakipewa nchi si ndo itakuwa raha tupu
 
Zitto bado yupo sumbawanga.?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom