Operesheni M4C Pamoja Daima yaunguruma Njombe na Chimara Mbeya

Operesheni M4C Pamoja Daima yaunguruma Njombe na Chimara Mbeya

ChrisMsofe

Senior Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
164
Reaction score
84
Slaa-kuwasili-Chimara.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwasili katika mji wa Chimara mkoani Mbeya, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Katibu-wa-CCM.jpg
Aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani Mbeya, Felix Komba akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na Chadema wakati wa mkutano huo uliofanyika Chimara jana.
Kumnadi-Mgombea-Njombe.jpg
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Njombe Mjini kupitia chama hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Njombe jana.
Slaa-kuhutubia-Makambako.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Mkutano-Njombe.jpg

​
Wananchi wa mji wa Makambako wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika jana.
Slaa-Njombe.jpg
Kwa Picha na Habari nyingine Click hapa
 
Hizi picha mimi sizielewi mbona ukienda mbeya ni hizo hizo,tanga hizohizo,arusha the same ,mbeya the same nyie chadema wazima kweli nyie.
 
Hii ni Crusade angalia waendeshaji mikutano Wilbroad Slaa, John Mnyika, John Heche, Tundu Lissu, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi, Freeman Mbowe.
 
Tatizo lako hutembei umekaa Dar siku zote, ukitembea sana unaenda mitaa ya Lumumba, Hizo picha huoni hata hiyo Milima ya Ukinga, au hilo gorofa hapo makambako halipo?

Hizi picha mimi sizielewi mbona ukienda mbeya ni hizo hizo,tanga hizohizo,arusha the same ,mbeya the same nyie chadema wazima kweli nyie.
 
niliwaletea juzi taarifa juzi kwamba wananchi wa njombe wamewachoka ccm mpaka wanawazomea muliona jana kilichotokea watu hadi wanazimia wanapo muona dr slaa kienzi chao baada ya furaha kuzidi,ukweli ni kwamba 2015 nchi hii inaenda mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na nchi yao
 
Hizi picha mimi sizielewi mbona ukienda mbeya ni hizo hizo,tanga hizohizo,arusha the same ,mbeya the same nyie chadema wazima kweli nyie.
Inaonekana pressure yako imepanda sana ndio maana huoni vizuri tofauti ya hizo picha ulizozisema!
Ushauri wahi ukamuone daktari haraka sana!
Ila sijui utaenda hospitari gani? maana wenzio wanaogopa kutibiwa bongo!
kama huna uwezo wa kwenda south au india imekula kwako!
 
Hizi picha mimi sizielewi mbona ukienda mbeya ni hizo hizo,tanga hizohizo,arusha the same ,mbeya the same nyie chadema wazima kweli nyie.

Mkuu Tanga watu wavae majaketi ya baridi??!! Una roho ngumu na propaganda zako za kipumbavu!!!!
 
Hizi picha mimi sizielewi mbona ukienda mbeya ni hizo hizo,tanga hizohizo,arusha the same ,mbeya the same nyie chadema wazima kweli nyie.
Watu wa lumumba ni vigumu sana kuona vizuri mana mda wao mwingi huishia kuedit picha na kuzipost na ku coment wenyewe kwa ujira wa buku saba kwa hiyo ni vigumu kutofautisha picha mana ushazoea za ku edit Nakushauri unawe uso utizame upya.:juggle:
 
Msipagawee na hao watu wengi wamekujaa kushangaa helcopter
Wangekuwa wanashangaa Helcopta wangekuwa wameigeukia ila mbona wote wanawaangalia viongozi wao wa ccm ndo wengi wanapelekwaga kwa kofia,tshirt,kanga na posho buku saba. Kwa taarifa yako unao waona hapo wote ni wazalendo.
 
Kamaa kweli hao wanawafwata viongozi wao mngekua chama tawala by now..ila imekuwa fairytale koz hao watu wanashaangaa tu helicopter kati unaowasema wewe wamekuja kwa ajili ya kofia ndo wanakiweka chamaa juu
 
Hivi ccm katika hiyo mikoa awapo watupe picha za mwaka 2014 maana mkipewa picha mnasema za mwaka 2010 sasa uvccm muwepo katika kila mkoa wa nchi hii uvccm mna ofisi zitumieni hizo cc simiyu yetu
 
Hii ni Crusade angalia waendeshaji mikutano Wilbroad Slaa, John Mnyika, John Heche, Tundu Lissu, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi, Freeman Mbowe.

Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya huo mkutano?
Akili zilizovia hizo!
 
Hii ni Crusade angalia waendeshaji mikutano Wilbroad Slaa, John Mnyika, John Heche, Tundu Lissu, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi, Freeman Mbowe.

Just imagine Jk akaingia,Lowasa akaingia,Mwandosya nae akaingia,Mwakyembe akaingia,halafu wakaita mkutano! Unadhani mkoa utatosha kubeba huo umati??????
 
Kamaa kweli hao wanawafwata viongozi wao mngekua chama tawala by now..ila imekuwa fairytale koz hao watu wanashaangaa tu helicopter kati unaowasema wewe wamekuja kwa ajili ya kofia ndo wanakiweka chamaa juu
Wanakiweka chama juu!!!! Kimewasaidia nini!!!! au ndo ile kofia anayopewa anashindwa hata kununua ingine mpaka inachakaa unabaki mkandatu ila bado anavaa!!! Huuu si upumbavu 2015 Hampati kitu. M4C
 
Hizi picha mimi sizielewi mbona ukienda mbeya ni hizo hizo,tanga hizohizo,arusha the same ,mbeya the same nyie chadema wazima kweli nyie.

utaelewa vipi wakati unaonea gwanda aibu na kila sehmu ni gwanda ni vipi utaweza angalia watu.
 
Back
Top Bottom