Live kutoka Karagwe: Operesheni M4C Pamoja Daima!

hivi mbowe hajaacha utapeli jamani. chadema hawatofautiani na kikundi cha vibaka na majambazi wanaojiita "MBWA MWITU"

We kilaza unamjua mbowe ? Mbowe ni matajiri kabla ya uhuru wa tangangika,mbowe amelelewa katika utajiri soi kama zzk anautafuta sasahivi.nyerere wakati anasaka uhuru wa tanganyika akienda kilimanjaro alikuwa analala kwa babake mboye na alikuwa mfadhili wa tanu wakati huo.
Chadema washukuru kumpata mboye ambaye ccm hawana uwezo wa kumnunua.
 
twenzetu.
attachment.php
wewe uliyeandika hii habari umetumwa na majangili/mafisadi ya ccm. Utafiti unaeleza kuwa ifikapo mwakani 2015 Tanzania haita kuwa na mnyama Tembo. Tembo watakuwa wamefutika tanzania je wewe uliyeandika hayo hapo juu kisa umeahidiwa posho Lumumba office za mafisadi/magamba/mizigo/micago/ukurutu/wezi/maEPA/Maridhmond/Meremeta/
kagoda/marada/vijisent/buzwagi/bulyankulu/gas(CCM). Waonee huruma ndugu zako mama,baba,dada,mjukuu,kaka,mjomba,shangazi watoto na watanzania wengine hivyo vi buku7 vinaisha leo tu nchi itabaki na watu wataendelea kuishi,kuwa mzalendo kula hiyo buku 7 yao kisha lalambele lakin sijui kama utaweza maana mpaka waone ulicho andika ndio ulipwe ujira wako 7000.
 
Back
Top Bottom