VIDEO: John Mnyika M4C Operation Pamoja Daima tabor

VIDEO: John Mnyika M4C Operation Pamoja Daima tabor

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644


Hii video ni hotuba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, Timu ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed na John Mnyika, wakiwa Tabora mjini katika Uwanja wa Uyuwi jana Januari 22, siku ya kwanza ya operesheni.

Leo Alhamis, Januari 23 Timu hiyo itafanya mikutano katika maeneo ya Sikonge (Tutuo), Mpanda Magh (Kalema na Mwese), Mpanda Mash. (Majimoto) na Mpanda Mjini.

Timu ya Dkt. Slaa itakuwa katika maeneo ya Ludewa, Makete, Rungwe na Kyela mjini.

Timu ya Tundu Lissu na John Heche itakuwa;

Same, Mwika, Tarakea, Hai na Moshi mjini.

Source:CHADEMA DIASPORA : John Mnyika M4C Operation Pamoja Daima Tabora​
 
Last edited by a moderator:
Popoa hao mpaka kieleweke makamandaaaaaaaa!!! Pamoja Daima mileeeeeeeeeleeeeeee. Hongereni kwa kazi njema.
 
Mungu ibariki m4c pamoja daima, iwadhhirishie watanzania ukwel kuwa tko imara na hakuma alyejuu ya chama. Cdm inawenyewe na wenyewe ni watanzania wenye maumivu na dhamira ya kwel juu ya taifa lao.
 
Back
Top Bottom