Live kutoka bungeni; Kingwangwala aitisha resolute

Kwa kweli huyu bwana sio mwana siasa kabisa hajui kupangilia hoja na vile vile hana facts za anachokizugumza labda anaweza kufanya lobbing tu..nilimwona akiongea vitu visivyo na data wala mashiko katika muda wote aliopewa badala ya kuongelea mambo mengine yakiwemo ajira za wananzega yeye kang'ang'ana na mgodi eti Alex sterwart wanalipwa 1.9% wakati hwa watu hapo kwa sasa..Kwa kifupi hakuwa na hoja zenye mashiko zaidi ya blah blah afu alikuwa anazungumza kama mbunge wa upinzani vile!! naona hawa ndo wale wanaitwa MANYUKA....(ugeni bungeni)
 
Mtume Paulo kabla ya kuongoka aliwashambulia kwa nguvu sana wafuasi wa Yesu, lakini baadae alikuja kuwa nguzo ya ukristo. Alichoongea Kigwangala sio chakubeza kwa sababu tu anaikosoa chadema. Ameishauri vizuri sana serikali. Nakubaliana na yeye kwamba migodi yote ifungwe kwani haina manufaa kwa taifa letu. Nibora madini yabaki ardhini kuliko kuwanufaisha wageni.
Narudia tena huyu Bwana ni mnafiki yawezekana wewe umemsikiliza leo tu ila mie nimemsikiliza mara tatu jumla:1.Joseph Mbilinyi alikuwa anawatetea vijana wanaojihusisha na Sanaa kwamba Wizara inayohusika na Utamaduni imefeli kuwawezesha vijana kujiajiri katika hii Sector yeye akasimama akapinga kwakutoa Taarifa bila facts zozote ukizingatia ni kijana.2.Silinde akiwatetea wakulima wa Mbozi akasimama kutoa taarifa kwamba kilimo kimekua ilihali Tabora huko watu wanalia na njaa.Silinde akamwambia Watu wa Nzega waliochakachuliwa Mbolea wanamsikiliza.3.Hilo la Lissu kuna thread humu zimeelezea vizuri.Mtu kama huyu unachukua lipi nakuacha lipi?
 
Its not suprising hata kidogo kwa huyu mbunge wa jimbo langu, yaani simuelewi elewi hata kidogo anamaanisha nini leo anapinga hiki kesho anasapoti ...#@%4#@>...???????
 
Nafikiri ameakwisha pata habari za segese huko kahama . Sikui huyo waziri Maige atarudi kahama au atabaki Dodoma.
 
Its not suprising hata kidogo kwa huyu mbunge wa jimbo langu, yaani simuelewi elewi hata kidogo anamaanisha nini leo anapinga hiki kesho anasapoti ...#@%4#@>...???????

bora huyo mbunge wenu anasimama kuongea hata km ni pumba, mie mbunge wangu sijui hata hapo bungeni km hasumbui wenzake kwa kukoroma anapolala...mmmh!! kazi tunayo kwakweli.
 
Hana lolote huyo, kwanza wananchi wa nzega hawampendi kabisa kwasababu hana ushirikiano nao kabisaaa, pia alishawahi kuwajibu nyodo vibaya sana wazee wa CCM Nzega kua hawamwambii chochote kwani hawakumchagua wao alichaguliwa na Rais. Hiyo kitu ita m cost uchaguzi ujao asitegemee IF YOU WANT TO CHANGE THE FRUITS YOU WILL FIRST HAVE TO CHANGE THE ROOTS. Hizo kelele zake zinaishia hewani, aache tu haisaidii alishaharibu mwanzo kurekebisha ngumu sana na wazee wa CCM wanacho kumbuka kwake ni hizo kauli zake mbaya.
 
Asilimia kubwa ya wana nchi wa nzega ni wafanyakazi wa mgodini kama si wao ni watoto wao. Sasa yeye kwa kua anilipwa huko anataka awakoseshe wengine ajira zao hicho asahau mgodi hauwezi fungwa kwa sababu zake binafi, na hakuna analolijua kwa undani kuhusu huo mgodi, akae kando tu. Kwanza mabasi yote yanayo beba staff ni ya mbunge mwenzie wa Ccm tena mwenye nguvu flani zinazo sumbua taifa zima kwa sasa, naona anaingilia wenyewe sasa. Inafurahisha sana jinsi wabunge hawa wa chama kimoja kupingana wenyewe kwa wenyewe kisa maslahi.
 
Asante mkuu uliyosema yote ni kweli,hizo ni kelele tu anazopiga bungeni, ili watu wamuone ameongea,hana lolote zaidi ya kujiua kisiasa
 
Naona kila mbunge kwa wakati wake anampinga ngeleja ktk wizara yake. Nani anamlinda ngeleja? Kuna kitu kimejificha apa nyuma ya ngeleja!
 
Huyu naye huwa ni porojo tu, hajui kusimamia anachokiamini. Alitangaza maandamanao mara kadhaa kuhusu ufisadi uliokuwa unaendela kwenye hiyo migodi. Baadaye akafunga bakuli lake akaingia mitini bila sababu. Kigwandala ni mzigo kwa wana Nzega na Bunge zima.
 
Back
Top Bottom