Live kutoka bungeni; Kingwangwala aitisha resolute

Live kutoka bungeni; Kingwangwala aitisha resolute

Jibu alilompa T.Lissu siku ile alipounga mkono hoja ya msamaha wa kodi kwa wawekezaji nililipenda sana. Mnafiki tu huyu!
Atakuwa alienda kutafakari kwa kina aliyoyasema Tundu Lissu na sasa anaona aibu na kujidai anatetea wananchi, gamba huyo, akisema sana watampora ubunge.
 
Amekatwa hewani!anajipendekeza kutaja kina zito ,lisu

Kabaki anajifagilia...oh nimetoka mitaa ya Nzega nimefika mpaka Chuo Kikuu...Oh nimekuja kujenga hoja mjengoni bla bla bla...kwa jinsi anavyojitetea ni dhahiri huyu ndiye Nassor the OPPORTUNIST
 
Hahahahahaa...magamba bwana angekuwa mbunge wa cdm wangesema anatafuta umaarufu wa kisiasa. Huyu **** naye si alipitisha msamaha wa kodi afu leo anajifanya kupinga?

Afu kaongea bila mpangilio alikuwa anarudiarudia maneno, thuswhy kakatizwa na mda b4 haja conclude
 
kama ndio hivyo basi jamaa hana msimamo, kwa namna hiyo kweli jamaa atakuwa ni mnafiki!
 
Ni mambo ya kushangaza jinsi watu wa CCM wanavyotenda mambo bungeni, Juzi Kigangwallah, Sendeka na wengineo na hasa kigangwallah walibeza maelezo ya Tundu Lissu kuhusu misamaha ya kodi kwa wawekezaji isivyo na tija kwa nchi yetu. Tundu Lissu alifikia hatua ya kumkumbusha jinsi wananchi wake wanavyoumizwa na hiyo misamaha kwenye huo mgodi wa nzega ambako ni jimboni kwake! Leo anasema wananchi wa nzega hawataki kuona hao wezi wanaosamehewa hayo mabilion ya madini, huyu mtu juzi aliunga mkono hiyo misamaha na leo anataka misamaha isiendelee akidai watu hawa wezi wamenyonya vya kutosha. Hivi huyu Kigangwallah na CCM yake wanatathmini kabla ya kusema? Kifupi hawa ni wababaishaji!
 
Mimi nadhani wabunge wengi wa ccm wakati mwingine huwa hawaelewi kitu gani muhimu kati ya kutetea maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla au kutetea maslahi na itikadi za ccm na serikali. Mara wanapinga jambo fulani badae tena unaliafiki, that is speaking with a forked tongue kama alivosema jana mh. tundu lissu.
 
Mnafiki tu anajifanya ana uchungu na wananchi, anatumwa na ******. Yuko dream team ya kuwasambaratisha pembe tatu pacha.
 
Tatizo la kigwa, hajitambui, hajui anasimamia nini, ni mpayukaji, hata anapoongea haongei kama msomi, amekuwa mnafiki, mtu wa kusema na kukana kauli zake, mtu wa ahadi asizozitekeleza, ajue wananzega wanamuona, na asifikiri kama ataendelea kubebwa. Kigwa jitambue wewe ni nani na unasimamia nini, vinginevyo utabaki kuwa vuvuzela,
 
Nashangaa sasa hivi, anapinga alichounga mkono juzi na last week alipopitisha budget! Si yeye tu Ole Sendeka na Komba naye kapinga mashangingi.

Swali, je nao wanatafuta umaarufu, au wameanza kuguswa na matatizo ya nchi hii?

Hamisi ni mbunge mchapakazi lakini asiyejua anataka nini wala yupo wapi kwenye siasa za Tanzania.... i think he is having a problem with identity and to a larger extent conflicting personality coupled with superiority complex

I am just feeling sorry for this guy... he is damaging himself day in day out
 
Hamisi ni mbunge mchapakazi lakini asiyejua anataka nini wala yupo wapi kwenye siasa za Tanzania.... i think he is having a problem with identity and to a larger extent conflicting personality coupled with superiority complex

I am just feeling sorry for this guy... he is damaging himself day in day out

aisee ni bora ya ukimwi kuliko kukosa msimamo
 
Hivi sereli aliwakosea nini watu wanzega hadi wakamtosa? Unajua sisi wa Tanzania Rushwa itatumaliza, jamaa huyu alipita kwa kuchakachua tu.

Nilivyomwona juzi akipinga hoja za Lisu na suti yake iliyombana nikajua kichwani matoppe hamna kitu. Hata hivyo Lisu alimmaliza palepale maana aliyasema haya ambayo ameyarudia tena yeye mwenyewe.

Labda alikuwa anamjibu Lisu ilikuonyesha anavuma kumbe hayumo!

Huyu zero minus na hawa ndo vijana wapya wa chama cha magamba.

Sasa anachokifanya nikujisafisha kwa wananchi wake!, ila habari zake zipo siku cdm wakitembelea nzega
 
Nafikiri alipata feedback toka kwa wapiga kura wake akaamua kujihami! Si mmemsikia Komba alivyojihakikishia ubunge wa kudumu baada ya kinunua trekta instead of Shangingi!

Huu ni mwanzo, tutawasikia wengi tu! Ila inachefua kishenzi!
 
Hivi mnaumiza vichwa vyenu juu ya huyu kiumbe? Tangu lini mtu aliyezaliwa kwa bandia akalelewa kwa bandia akasoma kwa bandia akaingia mjengoni kwa bandia akawa na akili timamu? Huyu yupo kama monitor, cpu ipo nzega!
 
Sio kila upuuzi lazima utuwekee thread hapa!!Huyu mnafiki tumesha mjadili sana hapa kwenye forum. Juzi hapa alikuwa anawatetea Wawekezaji kisa mbunge wa Cdm kaongea leo anawaponda nani atamwelewa.
Mtume Paulo kabla ya kuongoka aliwashambulia kwa nguvu sana wafuasi wa Yesu, lakini baadae alikuja kuwa nguzo ya ukristo. Alichoongea Kigwangala sio chakubeza kwa sababu tu anaikosoa chadema. Ameishauri vizuri sana serikali. Nakubaliana na yeye kwamba migodi yote ifungwe kwani haina manufaa kwa taifa letu. Nibora madini yabaki ardhini kuliko kuwanufaisha wageni.
 
Namkumbuka Said Baga...wakat akiwa Muhmbili aliongoza mgomo wa Madaktar wa Interneship...kesi iliwasumbua sana!lakn WAKILI TUNDU LISSU akisaidiana na Dr Mtei(Mrs Freeman Mbowe) waliwatetea sana kisheria..hatmaye ikawezekana!bila ivo ata Udaktar angeuskia redion...najua Kigwangala anamuheshm sana Tundu..na Mbowe pia!mana n Mbowe ndo alimsistza mkewe awatetee...lakn leo...
 
Back
Top Bottom