Live: Kizota Dodoma

M

MegaPyne

Guest
Live Live from Dodoma.

Chakushangaza Leo TV Zote bongo sinaonyesha huu mkutano Live. TVT wanabroadcast wenywe. StarTV, ITV na Channel 10 wanachukuwa chukua feed moja ya ITV.


Huyu nadhani mnamjua.

Huyu sikumbuki Jina lake.

JK alianza kuhutubia, nikashanga gafla anaanza uongea na huyo ambaye yupo pembeni yake. Bado sijajua ni nani huyo.
 
Pamoja na kuwa kuna hoja ya kujadiliwa kuhusu hizo LIVE za TV zote, lakini nadhani ni sawa kwa sababu ya kuwa watu wengi wanafuatilia tukiwamo sisi humu JF, hata kama wengi si wana CCM. Huo ndo ukweli kwa hiyo kama habari TV zote zinalazimika kuonyesha hata kama ni bure kabisa, japo yaweza kuwa CCM ikawalipa TVT peke yao
 

Leo inaonekana kuna kitu JK atasema kikali. Mbona huyu mzee amekaa kihuzuni hivyo>



JK akihutubia. na amesema ameamua kukaa kwasababu hotuba atakayotoa itakuwa ni ndefu kidogo







Rais Ben, Mkapa
 
watakuwa wamelipa katika vyombo hivi,si unajua budget yao ilikuwa juu,Billion mbili si mchezo..ila kwasababu Star Tv ni ya kada wa chama,watakuwa wametoa pesa kidogo,ITv na yenyewe ni TV ya propaganda ya sisiemu,Hivi kwanini Mwanahalisi wasianzishe kituo cha TV???
 
JK anasema, Tanzania inaheshimika, inapendwa, inathaminiwa na mataima ya njee mpaka VATICAN! Hiyo yote ameshuhudia mwenyewe.
 
Mkapa anauchapa usingizi au ndo anatafakari? Jk anasema kuna watu hawalali kutaka kuifitinisha serikali yake na nchi za nje ambako anasema Tanzania inang'ara
 
leo Mkapa kaja?Balaa...si alisema keshastaafu siasa?kuna jambo hapa leo..na ndio maana Msekwa alishinda kiti cha Makamu Mwenyekiti,Basi sumaye atashinda kwa kishindo NEC ya vigogo.
 


Mwema alikwepo



Cheyo alikwepo


Mkutano mkuu





Kingunge and Spika.
 
Mkapa anauchapa usingizi au ndo anatafakari? Jk anasema kuna watu hawalali kutaka kuifitinisha serikali yake na nchi za nje ambako anasema Tanzania inang'ara

Kuna kitu JK kasema sasa hivyi kuhusu waandishi wa habari. unaweza ukatueleza mimi sikumbuki
 
JK naona anamsema Dr Slaa, kwamba eti alienda nje baada ya kushindwa kusema Mwembeyanga???? Sasa anachemsha kusema vyama vya siasa, na sasa anawaita wanasiasa wachovu
 
Anasema kwamba kuna mingong'ono kwamba waandishi wanaweza kupewa rushwa kumuandika mtu vibaya, lakini hajasema jinsi CCM inavyonunua wahariri kuchafua watu na hata kuua story zao
 
JK naona anamsema Dr Slaa, kwamba eti alienda nje baada ya kushindwa kusema Mwembeyanga???? Sasa anachemsha kusema vyama vya siasa, na sasa anawaita wanasiasa wachovu

Kamsema openly, na pia kasema kuna viongozi wengine wanapenda majina yao yatoke tuu kwenye magazeti kila siku
 







Kizota ni godown la mahindi. Dodoma hakuna ukumbi wa mkutano mkubwa (zaidi ya ule wa bunge) unaoweza kufanyika mkutano wa CCM










 
Niko hapa Dodoma nangoja hilo mnalo dhani JK atasema ila nawahakikishia kwamba the guy kesha sema hana jipya . Hagusi vitu muhimu hata mara moja . Anataka kuchekesha lakini watu wao wanawaza vyeo baada ya kura .

Nothing serious is gonna be pronounced here .Anarudia madai ya kusema akina Slaa ni waongo laini sioni anakubali kwamba Tume iundwe hapana . Hakuna lolote .

Kamfanya Pope kuwa kivuli chake cha msaada na ndiyo maana anapenda sana picha na hao jamaa.Lakini mbona CCM leo makofi hayatoki ama kwa vile wajumbe wengi si waelewa sowanabaki kapa ?falsafa ya maisha bora leo inageuzwa rasmi mnaletwa wimbo mpya .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…