ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,019
- 7,223
Kikwete ni Rais wa WATU...
kweli kikwete anajua kumwaga sifa amwaga sifa za Dar,Moro na za nyerere pindi Tata Madiba alipokuja Tanzania kujihifadhi na kusahau Boots zake pindi aliporejea Sauzi na kuishia mikononi mwa kabauru
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake nadhani!!!!!!
Kafunika kweli,si uongo,makofi mwanzo mwisho,hasa alipotaja freedom radio.
Kikwete sasa ana exposure....kigugumizi kimepungua...anajiamini.....kwa kifupi ametoa hotuba nadhifu yenye nakisi ya historia fichwa ambayo mimi sikuwa naifahamu.
Joyce Banda kafunika JK wala
Kikwete ni Rais wa WATU...
aaaaa Mkuu acha kukuza mambo mbona hata mara saba hazikufika!!!Kaunda naye pia amemwaga sifa kemkem kwa nyerere na mama maria nyerere. Kwenye hotuba yake amemtaja nyerere zaidi ya mara kumi
Kesho tutasikia gazeti la Uhuru JK afunika mazishi ya Mandela
Joyce Banda kafunika JK wala
Kikwete ni mtu wa Kimataifa kwa sasa jamani tumpe sifa anazostahiki hata kama wengine hatumpendi. Kaongea points na siyo Jagon za kiingereza tu kama wengine walivyofanya. Kaongea facts na siyo Propaganda za kupendezesha watu na kuchekesha