Live hamza kassongo hour...channel ten

Live hamza kassongo hour...channel ten

Joined
Mar 13, 2012
Posts
52
Reaction score
12
fungulia channel ten sasa hivi.kipindi cha hamza kipo hewani..mada ni tamasha la nne la kitaaluma la mwl nyerere....Dr.Mutembei anasema viongozi wa ngazi ya juu wa serikali wanaogopa kuja UDSM kwasababu ya kuzomewa....I was there for 4 years hakuna hata kiongozi mmoja alietia mguu...
 
Chuo si mchezo hapo ukienda lzm ujipange sasa viongozi wengi ni makomedian so itakuwa ngumu kufika hapo!
 
Mi nimekaa UDSM miaka mitatu lakini JK hajawahi kukanyaga hapo mlimani. Nakumbuka kipindi cha REVOLUTION FOR CHANGES.
 
waende chuo kikuu kutafuta aibu!vijana wanazomea kama walivyo mzomea kasesera kwenya mdahalo wa katiba,ccm aibu tupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom