Peter Msigwa Live Channel Ten

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Waziri kiviuli wa mambo ya nje Peter Msigwa leo atakuwepo live kupitia channel ten kuanzia saa nne kamili usiku.

Pamoja na mambo mengine Msingwa atazungumzia mahusiano ya kimataifa n.k.

Usikose hii nadhani atagusia na suala la mabalozi kwenda Ikulu na kusimama.
 
Sidhani kama litakuwepo lamaana zaidi, maongezi yatakua kisiasa zaidi, ningeshauri kuwepo nawatuwaliosomea na wenye uzoefu wa mauhusia ya kimataifa.

Hawa wanasiasa hawawezi wakachambua mambo yao wenyewe, hapo tunashindwa sana Tanzania.

Tuwatumie wataalam wetu,

Jambo limitendwa na mwana ccm unataka aeleze/achambue chadema unategemea nini.......
 
sidhani kama litakuwepo lamaana zaidi, maongezi yatakua kisiasa zaidi, ningeshauri kuwepo nawatuwaliosomea na wenye uzoefu wa mauhusia ya kimataifa.
hawa wanasiasa hawawezi wakachambua mambo yao wenyewe, hapo tunashindwa sana tz.

tuwatumie wataalam wetu,

jambo limitendwa na mwana ccm unataka aeleze/achambue chadema unategemea nini.......

CHADEMA ni chama cha matukio.
 
Leo kwenye kipindi cha mada moto mh. peter msigwa waziri kivuli wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. mada:utendaji na changamoto katika wizara ya mambo ya nje.View attachment 322365
 
Attachments

  • madamoto 10 feb.jpg
    madamoto 10 feb.jpg
    29.7 KB · Views: 42
Mwaka Jana katika kipindi cha mada motomoto Mchungaji p,msigwa ambaye ni mbunge wa iringa mjini alisema kuwa.ni watanzania asilimia 5% tu wanaochukia ufisadi na rushwa na wengine asilimia 95% hawaoni shida zidi ya ufisadi na hawachuki ufisadi na rushwa ,
Leo nimeona kuwa utakuwa Chanel 10
Natautufafanulie ni kweli watanzania asilimia 5% ndo wanaochukia ufisadi? Ambayo kwa upande mwingine asilimia 95% wanaunga mkono ufisadi,
 
Mwana Diplomasia wa kimataifa Mchungaji Msigwa!Duuh Waziri kivuli wa mambo za nje duuh
 
sidhani kama litakuwepo lamaana zaidi, maongezi yatakua kisiasa zaidi, ningeshauri kuwepo nawatuwaliosomea na wenye uzoefu wa mauhusia ya kimataifa.
hawa wanasiasa hawawezi wakachambua mambo yao wenyewe, hapo tunashindwa sana tz.

tuwatumie wataalam wetu,

jambo limitendwa na mwana ccm unataka aeleze/achambue chadema unategemea nini.......
Huo ndo ukweli,MTU na siasa zitatawala lkn tija ya taifa kidogo
 
Bala shaka msigwa anaenda kuongelea wazungu na wezi wa afrika badala ya kwenda kuongelea wapiga kuwa wa iringa na shida zao,
Hapo ndo utajua ule unyani wa ki FIKRA aliousema mh,mtikila utakapo yona,
 
Bala shaka msigwa anaenda kuongelea wazungu na wezi wa afrika badala ya kwenda kuongelea wapiga kuwa wa iringa na shida zao,
Hapo ndo utajua ule unyani wa ki FIKRA aliousema mh,mtikila utakapo yona,
very poor ! huyu amekuja hapo kama waziri wa upinzani , anawakilisha wananchi wote , si wahehe tu .
 
Mwaka Jana katika kipindi cha mada motomoto Mchungaji p,msigwa ambaye ni mbunge wa iringa mjini alisema kuwa.ni watanzania asilimia 5% tu wanaochukia ufisadi na rushwa na wengine asilimia 95% hawaoni shida zidi ya ufisadi na hawachuki ufisadi na rushwa ,
Leo nimeona kuwa utakuwa Chanel 10
Natautufafanulie ni kweli watanzania asilimia 5% ndo wanaochukia ufisadi? Ambayo kwa upande mwingine asilimia 95% wanaunga mkono ufisadi,
Atakuwa anaongelea kuhusu uhusiano wa kimataifa hayo mambo ya ufisadi muombee kipindi maalum wakat mwngine
 
CHADEMA ni chama cha matukio.
Wamejipanga kuwa wasimamizi wa serikali daima, Msigwa na chadema kwa ujumla wako predictable sana. Najua waziri kivuli atakuja kuongea umbea wa siasa tu, hana jipya! Alafu Msigwa anapewaje wizara ya mambo ya nje? Hivi wangeshinda ndo angekuwa yeye waziri wa mambo ya nje? Kweli hawa ni wapinzani wa serikali daima.
 
Back
Top Bottom