Kama tulivyokubaliana wadau basi ndo tumefika eneo la tukio na wadau waliokwishafika ni Remmy Mtambuzi Asprin Madame B
View attachment 84360
Hapa ni bata kwa kwenda mbele....jamani fanyeni hima mje, mambo ipo huku.
Hamjambo wote.....napita!!!
mimi nashangaa kwanini sikutani na wewe mkuu. siku ile pale kinondoni nikakuta ymeondoka, white party hukuja, leo sipo lakini ipo siku tutaonana. mia
Hamjambo wote.....napita!!!