Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,102
- 128,716
Wanabodi
Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea uchaguzi mkuu 2025!.
NB: Kumbe Kikao hiki ni Strictly Confidential!, hivyo nitawapa briefing, baada ya kikao.
Asanteni sana.
Paskali