nanasikirikuu
Member
- Dec 6, 2013
- 73
- 34
Mi nilidhania umeniwekea pichaa ya Party loll
Kumbe kaogopa maneno yenye cheche frm kubwa la maadui...lol
Mi nilidhania umeniwekea pichaa ya Party loll
Kumbe kaogopa maneno yenye cheche frm kubwa la maadui...lol
Shemkwe yaani nilikuwa mbali kweli kweli...
Mambo shemkwe...em nimumunyie kidogo ilikuwaje!
Moja kati ya mjumuiko uliofana sana kati ya mijumuiko niliyowahi kuhudhuria ya wanaJF
Moja kati ya mjumuiko uliofana sana kati ya mijumuiko niliyowahi kuhudhuria ya wanaJF
Daah...nahisi wivuuuuuu.....hongerenii
asante shemkwe zipo nyingine nyingi zafuata....karibuuuu!!!
Hivi escape si ni jina la filam au??
...hahaha..unamaanisha escape plan...Arnold na Sylvester Stallone ...sio ....!!