Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

Tayari kuna majimbo 3 ya CCM yanawaponyoka kwa ulaini kama maini 2015 maana kama wamewakata sasa lazima wawakate pia kugombea ubunge 2015 lasivyo mkakati wao wa kuwaondoa wabaya wa Mtoto wa mkulima hautakuwa na maana ukiishia kwenye uchaguzi huu tu. Lakini magamba hawaaminiki wakiona maji ya shingo kwao kula matapishi yao siyo issue!
1. Ludewa
2. Kisesa
3. Musoma Vijini
 
Kumbe umeliona hilo mkuu!....sasa doa la richmond cjui mtaliondoaje?teh teh ....
 
Hivi viti 10 vya bara ndo nini maana naona wengi ya walioko madarakani ndo wanagombania hivyo viti 10 vya bara? Nimekuta majina ya akina Mchema, Wasira, Shigella na wengine wengi!
 
Jk anajaribu kukimbia KIVULI chake, bado naamini chama kitamfia.
 
Tumeamua KULAUMIWA, KUTUKWANA, NA KEBEHI kwakuwa tumeamua kuijenga CCM.
 
Sisi tunaongelea masuala ya msingi tunasubiri majina tupewe wewe unataja vitu vya uongo wazi wazi je nitakufananisha na nani sasa? naomba unipe lugha nzuri.

Mtu yeye anasema ameona orodha ya majina na majina bado hayajasomwa. Wewe unaleta propaganda. Do you have proof?

Mimi sijakutukana ila nimeeleza tabia hiyo sio nzuri.
Hata kama unamchukia mtu basi vuta subira tu kama watasomwa hao basi tutajua.

Nadhani maelezo hayo yametosha kukueleza kwanini niliamua kukuita hivyo.
wewe unaingia kwa pupa sana hapa JF umekuwa unatoa lugha za kashfa na matusi ila nashangaa kwa nn MODS wanakuacha hawakupigi ban ya maisha!!huna ustaarabu na hujui unachoandika mara nyingi sana!
 
Kweli CCM wanautaratibu mzuri wa kupata viongozi.
Naomba unijurishe majina ya wagombea wa Uenyekikiti, umakamu Uenyekiti na katibu mkuu ngazi ya Taifa kabla sijaungana na wewe kuipongeza CCM kwa utaratibu mzuri wa kupata viongozi wake.
 
Nimefurahishwa na kauli toka nec makao makuu juu ya kipaombele kuelekezewa vijana ila nina maoni haya.
1.tatizo lililopo nchini hapa siyo kuongozwa na wazee bali ukiritimba,uongozi wa kifamilia nk ambavyo vipo ndani ya chama tawala ccm!hivyo kuchagua vijana pasipo kuonesha uzembe uliofanywa na wazee au kutokuonesha wazee waliokuwa wazembe ktk kuongoza hakuweki wazi kama t'zo lililopo ni uzee
2.mbona watoto wa viongozi wa zamani bado wanakumbatiwa.kama hakutakuwa na uwajibikaji mnadhani vijana hawataiba?
CCM KUSHINDWA kuchukua hatua stahiki kwa wezi na viongozi wengine wabovu hakutarudisha imani ya watz kwa ccm kwa kuwapa fursa vijana!THE PROBLEM IS JUST CCM AND NOT ANYTHING ELSE!
 
Naomba unijurishe majina ya wagombea wa Uenyekikiti, umakamu Uenyekiti na katibu mkuu ngazi ya Taifa kabla sijaungana na wewe kuipongeza CCM kwa utaratibu mzuri wa kupata viongozi wake.

Sidhani kama utapewa jibu!
Mke wa raisi na mwanawe wamekosa wapinzani. Kweli sisiemu kiboko!
 
Mtapatwa na degedege mwaka huu, Lowasa ndio Rais wetu ajae , mtake msitake !

What difference does it make whether uwe wewe au yule ndio Rais? Wote si ndio hao hao....mnazungukana wee na kusemana vibaya. Mnageukana kila asubuhi...mnataka kusema hatuoni? Kwangu mimi nashangaa mara leo mnasema huyu mzuri, kesho mnabadilika huyu ndio mzuri....kazi mnayo. Uzuri ni kuwa yoyote atakayekuwa Rais hana lolote la kunisaidia mimi binafsi so I have got nothing to lose
 
Back
Top Bottom