Majina rasmi yatasomwa muda si mrefu jopo la paparazi wapo hapa wakisubiri tamko la NAPE NNAUYE
Kuna majina yametajwa kweli katika ile habari iliyotangulia hapa yamekatwa kweli, ila kwa kulinda hadhi ya Forum MODS Funga uzi huo una habari nyingine si hakika sana inawezekana chanzo cha gazeti tajwa hapo kilipata habari za kiintelijensia ambazo nyingine hazikuwa sahihi.
Ntakupa mfano Jina la DR.ANTHONY DIALLO Naliona hapa katika list na atagombea Mwanza
GR IS LIVE SUBIRI UP DATE YA MAJINA KAMILI SOON
ADIOS
Dondoo Muhimu
- Sura nyingi Mpya zatawala
- Vigogo wengi wala mweleka
- Mkono, Mpina, Filikunjombe, Derefa OUT
- Diallo kukabana koo na Mabina
- Chegeni apeta, Kamani naye kugombea Uenyekiti wa Mkoa wa Simiyu
- Lowasa yumo
- Ridhwani na Salma hawana wapinzani
- Gachuma, Mathayo, Makongoro wamo Mara
- Le Mutuz kugombea Dar
- Chenge hana mpinzani Bariadi
- Nagu na Sumaye kutoana jasho Hanan'g
- Karamagi Aibuka upya kusaka Uenyekiti wa Wilaya huko Kagera
- Bulembo, Martha Mlata na Cpt Balongo Kuwania M/Kiti Wazazi Taifa
- Ngoma Nzito Viti 3 Wazazi Bara wamo Manyanya, Tizeba, Zungu, Kawawa na Nyawazwa
- Mwendesha Mijadala ya TV Mayrose kupimana Ubavu na Kilango VS Sophia Simba UWT Taifa

Vipi alivyomchukuwa Shibuda "jembe" la Chadema.
Wale MAPACHA Watatu waUFISADI waliokua wajipime kuondoka chamani kwa kashfa nzito dhidi ya umma wa Tanzania sasa WAMEPIMWA NA CCM na kupandishwa vyeo vizito kuwa ni Makamanda wa kukipigania chama hiki kwa mtaji wa fedha za Uswisi.
Kambi ya upinzani, hoja nzito ajabu hiyo kutumika kwenye uchaguzi ujao dhidi ya Magamba.
I wonder what would make CCM to stay for another atleast 10 years!
Vote splitting. CHADEMA vote will be split by CCM campaigning for ZZK that's if the constitution allows agewise