Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

Chaguzi zenye ushindani wa kufa mtu:
-Nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa.
-Nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara.
-Nafasi ya Mwenyikiti UWT mkoa wa Dar Es Salaam.
 
Haukumbuki hata Kikwete at 55, alipokuwa anagombea Urais mwaka 2005 tuliambiwa ni kijana?

How can I forget, vijana wa afrika above 50yrs, naona Obama angeambiwa bado hajabalehe
Le Mutuz ndo kijana?:high5::high5::high5:

Nani aliyekwambia mabaharia wanazeeka, hujamuona baba yake Dully Sykes
abbysykes.jpg
 
[SUB]Kuna kitu ntakuwa sikielewi lazima. Vita Kawawa na Adam Malima na wao wanaqualify kuitwa wazazi kwenye Jamii yetu??[/SUB]
 
[SUB]Kuna kitu ntakuwa sikielewi lazima. Vita Kawawa na Adam Malima na wao wanaqualify kuitwa wazazi kwenye Jamii yetu??[/SUB]

Kwani huyu pale Nashera Morogoro si unaona alikuwa Bize kwenye shughuli za uzazi! Au unadhani alivyokimbilia chuchu alikuwa anataka maziwa kama kinda?
 
ukitazama umri wa hawa wagombea kwa haraka haraka baada ya miaka mitano zaidi ya nusu yao watakua wamefikisha miaka 70+ napata shida JK anaposema vijana wasomi wamejitokeza.
 
Chama cha watu na familia zao , Madabida mume na mke, malecela mtoto na mama, kawawa , kaka na dada, Kikwete, mama na mtoto na shemeji, endelea wewe kuunganisha familia hii za premium class Ndani ya Ccm ........halafu unamkuta na mall shoji eti naye ni Ccm Jiulize wewe wanakuhitaji kwa sababu gani
 
Sasa hawa ndio vijana kweli?! CCM mbona waongo kila kona nyinyi? Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
... Aibu tupu.... mtu umekuwa PM mstaafu kwa mfano... bado una uchu wa madaraka .... unang'ang'ania nn..? Ulafi, ulafiiii tu wa madaraka.... Hata ukiwa President mstaafu... kaaa home ubaki as advicer kama utahitajika.... Ulafiiii utawamalizaaa.....
 
ha ha ha kikwete ana udini sana hivi mmefutalia kwa umakini idadi ya majina yote hv kwel sasa nimeamini ccm ni wadini sana,
 
Utawala huu wa awamu ya nne una mambo mengi sana ambayo ni tofauti kabisa na tawala zilizopita Mwl. Nyerere mama Maria hajawahi kujiweka kimbelembele kugombea cheo chochote ndani ya CCM alibakia kuwa na heshima kama First Lady kwa Mkapa Mama Anna hakujihusisha, Mwinyi, Mama Siti hakujihusisha cha ajabu huyu wa sasa Kampeni yumo, uongozi kwenye chama yumo hapa nakuwa na mashaka kweli hii familia ina nini hasa inachokitafuta ndani ya CCM Kwa upande wa vijana tumeshuhudia vijana wengi katika tawala zilizopita hawakujihusisha sana na siasa kama walivyo vijana wa Mkuu wetu wa sasa nao pia tumewaona kwenye kampeni pia kwenye shughuli nyingi za chama nao hatujui wanachokitafuta humu CCM ni nini.
 
Back
Top Bottom