Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
What difference does it make whether uwe wewe au yule ndio Rais? Wote si ndio hao hao....mnazungukana wee na kusemana vibaya. Mnageukana kila asubuhi...mnataka kusema hatuoni? Kwangu mimi nashangaa mara leo mnasema huyu mzuri, kesho mnabadilika huyu ndio mzuri....kazi mnayo. Uzuri ni kuwa yoyote atakayekuwa Rais hana lolote la kunisaidia mimi binafsi so I have got nothing to lose
Wrong sir! Supposing kukiwepo na rais ambae atatunga sheria zitakazo kuzuia kufanya shughuli zako halali kutunza familia yako, won't you lose something?